Ni afadhali CCM wanayesimamisha mgombea mmoja kama Kinana kuliko Chadema wanayemshindanisha Mbowe na mtu asiyejulikana chamani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,772
141,633
Ukiondoa kipindi ambacho Zitto Kabwe alitaka kugombea uenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe hajawahi kupambanishwa na mtu yoyote ansyejulikana ndani ya chama.

Zitto Kabwe alifanyiwa zengwe.

Sumaye akafanyiwa zengwe akatafutwa mrundi kutoka Kigoma eti ndio apambane na Mbowe.

Ni heri CCM wanaompigia kura mgombea mmoja halafu anapata 100% ya kura zote ili kudumisha mshikamano.

Maendeleo hayana vyama!
 
Umeanza uchonganishi wa michongo kama Kawa, nasema uongo ndugu zangu 🤔
 
Back
Top Bottom