wanaweza pendekeza awekwe pembeniWakuu naomba kujua ni adhabu gani kisheria kamati ya maadili ya bunge inaweza kumpa CAG Assad kwa haya yanayoendelea.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umempa haya maelezo ukiamini kwamba ni kweli hajui yanayoendelea kati ya CAG na Speaker!!??Spika amemwita CAG mbele ya kamati ya bunge baada ya CAG kunukuliwa akisema bunge ni “dhaifu”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Rais anaweza kumpa adhabu gani?Bunge halina uwezo labda Rais pekee
Watamfungia vikao saba vya bunge na kukata nusu mshahara, hilo tu ndo lipo ndani ya uwezo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempa haya maelezo ukiamini kwamba ni kweli hajui yanayoendelea kati ya CAG na Speaker!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mbona una haraka? kesi haijasikilizwa unataka kujua hukumu watu wengine shida sanaWakuu naomba kujua ni adhabu gani kisheria kamati ya maadili ya bunge inaweza kumpa CAG Assad kwa haya yanayoendelea.
Sent from my iPhone using JamiiForums
hivi CAG ni mbunge?Watamfungia vikao saba vya bunge na kukata nusu mshahara, hilo tu ndo lipo ndani ya uwezo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CAG anahudhuria vikao vya bunge?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Je,bunge lina mamlaka hiyo...????