Ni Abdallah Mwaipaya wa ITV/Radio One au Mzee Mandela kwenye desktop ya JF?

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
May 4, 2010
480
128
Kwa siku kadhaa sasa ukifungua tu computer yako kwenye JF unakumbana na picha inayofanana kabisa na mtangazaji wa ITV/radio one Abdallah Mwaipaya, Mzee Mandela akiwa kijana anafanana na huyu Bwana kwa maoni yangu.
Kweli si kweli?
 
Back
Top Bottom