NHIF tawi la Moshi ni jipu

Abuu Usama

Member
Jun 26, 2016
11
1
NHIF pia inatoa huduma kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa gharama ya 50,400 kwa mwaka lakini
Katika chuo kikuu cha kikatoliki cha mwenge (Mwenge catholic university MWECAU) kilichipo moshi imekuwa ikitoa huduma hii tofauti wanafunzi analipa 50,400 wanajaza form ya mkataba mwa mwaka

Vitambulisho vyake vinatengenezwa tofauti na mkataba, vitambulisho hivi vinaosha ni miezi mitano tu

Baada ya juhudi za hapa na pale kuwajulisha kuhusu hili tatizo wahusika walijibu hawako teyali kubadisha tarehe hizo

Hata hivyo wanafunzi wamesusia kuvichukua vitambulisho hivyo vya NHIF

Baada ya kusumbuliwa na wanafunzi wahusika hao waliahidi kufika chuoni kuongea na wanafunzi hao lakini Tangu mwezi wa Tano hadi leo hawakufika na vitambulisho vipo kwao

Je, hii ni sawaaa?
 
NHIF huwa inatoa huduma kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa gharama ya 50,400 kwa mwaka lakini katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (Mwenge Catholic University- MWECAU) kilichopo Moshi imekuwa ikitoa huduma hii tofauti.

Wanafunzi wanalipa 50,400, wanajaza form ya mkataba mwa mwaka lakini vitambulisho vyake vinatengenezwa tofauti na mkataba. Vitambulisho hivi vinaisha muda wake baada ya miezi mitano tu.

Baada ya juhudi za hapa na pale kuwajulisha kuhusu hili tatizo wahusika walijibu hawako tayari kubadisha tarehe hizo. Hata hivyo wanafunzi wamesusia kuvichukua vitambulisho hivyo vya NHIF.

Baada ya kusumbuliwa na wanafunzi wahusika hao waliahidi kufika chuoni kuongea na wanafunzi hao lakini tangu mwezi wa Tano hadi leo hawakufika na vitambulisho vipo kwao.

Je, hii ni sawaaa?
 
Ni sawa maana ina cover semester au kipindi upo darasani tu excluding likizo. Ukiangalia hilo bila shaka utakubali kwamba wapo sahihi
 
Back
Top Bottom