Nhif ni mradi wa kukusanya hela kwa wafanyakazi na wananchi wenye kipato cha kati. Gharama za ni kubwa kwa mwananchi wa kawaida. Kwa watu wazima 60+ ni kama hawatakiwi kuwa na bima.Mimi kama mtanzania wa hali ya chini naomba nitumie fursa ya kuwasilisha machache kuhusu NHIF -mfuko wa bima ,chakushangaza na kusikitisha nhif umeondoa baadhi ya dawa katika orodha yenu ya madawa kwa wanachama huku mkijua gharama ya dawa ni kubwa mno mtaani lakini ajabu zaidi michango ya wanachama iko pale pale. Mfano mmoja wa hizo dawa ni injection iron sulphate, ambayo bei ya mtaani ni Tshs 9000 mpk 15000. Hii inaumiza mno. Tu naomba liangaliwe