NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

NHIF wana huduma za kipumbavu kuliko bima yoyote hapa Ulimwenguni. Wakati watu wanaolazimishwa kujiunga NHIF wakitamani kujitoa, nitawashangaa sana wananchi watakaojiunga na huduma hizi za kijinga za NHIF.
NHIF siku hizi ndio habari ya mjini hamna anaetaka kujitoa, na kwa hizi bei mpya itabaki kuwa bima nafuu kwa mtanzania wa kawaida.
 
Nilichosema sio unafuu bali ni ubovu wa huduma ukilinganisha na hizo fedha kidogo unazosema. Huduma hailingani na fedha zinazotolewa, hata kama zinaonekana ni kidogo. Sijawahi kushuhudia huduma ya ki.ku.ma kama itolewayo na NHIF hapa Ulimwenguni.
 
Wewe unailinganisha NHIF ya Tz na Bima gani? Na huduma gani ambayo huipati kutokana na kifurushi chako?

Nilichosema sio unafuu bali ni ubovu wa huduma ukilinganisha na hizo fedha kidogo unazosema. Huduma hailingani na fedha zinazotolewa, hata kama zinaonekana ni kidogo. Sijawahi kushuhudia huduma ya ki.ku.ma kama itolewayo na NHIF hapa Ulimwenguni.
 
Nilichosema sio unafuu bali ni ubovu wa huduma ukilinganisha na hizo fedha kidogo unazosema. Huduma hailingani na fedha zinazotolewa, hata kama zinaonekana ni kidogo. Sijawahi kushuhudia huduma ya ki.ku.ma kama itolewayo na NHIF hapa Ulimwenguni.
Huduma gani unayoona ni mbovu na ulilipa kifurushi cha bei gani?

NHIF hospital zote inapokelewa kwa sasa isipokua Agakhan na Muhimbili, Muhimbili siku hizi mpaka upate rufaa. Sasa wewe ulipata huduma gani mbovu kulinganisha na pesa uliyotoa na ukiwa unalinganisha NHIF na kampuni gani nyingine? Na hiyo kampuni utakua umelipia kiasi gani?

Ama ulihitaji huduma gani ukaambiwa hiyo huwezi sababu unatumia NHIF?
 
Kwenye vifurushi vipya anayelipa Timiza anakubaliwa kwenda Muhimbili bila rufaa
Huduma gani unayoona ni mbovu na ulilipa kifurushi cha bei gani?

NHIF hospital zote inapokelewa kwa sasa isipokua Agakhan na Muhimbili, Muhimbili siku hizi mpaka upate rufaa. Sasa wewe ulipata huduma gani mbovu kulinganisha na pesa uliyotoa na ukiwa unalinganisha NHIF na kampuni gani nyingine? Na hiyo kampuni utakua umelipia kiasi gani?

Ama ulihitaji huduma gani ukaambiwa hiyo huwezi sababu unatumia NHIF?
 
NHIF inapaswa kuwajulisha wadau wake rasmi juu ya matumizi ya vifurushi hivi ili pasiwepo mkanganyiko wakati wa utoaji huduma.
 
Ukienda unajulishwa kabisa kuwa unachochukua mwisho wake wilayani, mkoa na taifa....
Ukienda hospital wakiingiza namba tu wanakwambia wewe kadi yakohairuhusu kutibiwa hapa
NHIF inapaswa kuwajulisha wadau wake rasmi juu ya matumizi ya vifurushi hivi ili pasiwepo mkanganyiko wakati wa utoaji huduma.
 
Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
samahani Chief hio bei elekezi ya elfu 40 uliyoitoa mbona kama haipo kwenye document iliyotumwa na muanzisha uzi?
 
Shirika ambalo watu wake wezi ni bima unachangia matibabu unapangiwa
Utasikia ugonjwa huo bina haigharamii nilichangia kutibiwa maralia au gonolea wataje na magonjwa yatakayo lipiwa sio matangazo mengi hakuna kitu.
 
Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
Acha ushamba hiyo ni CHF inatumika ndani ya mkoa husika kwenye hospitality na vituo vya afya vya umma.
 
Huduma gani unayoona ni mbovu na ulilipa kifurushi cha bei gani?

NHIF hospital zote inapokelewa kwa sasa isipokua Agakhan na Muhimbili, Muhimbili siku hizi mpaka upate rufaa. Sasa wewe ulipata huduma gani mbovu kulinganisha na pesa uliyotoa na ukiwa unalinganisha NHIF na kampuni gani nyingine? Na hiyo kampuni utakua umelipia kiasi gani?

Ama ulihitaji huduma gani ukaambiwa hiyo huwezi sababu unatumia NHIF?
Mkuu inamaana hata hicho kifurushi cha juu hakitakubalika agakhan na muhimbili?
 
Mnaosema hivyo vifurushi ni bei rahisi labda kwa kulinganisha na bima zingine, watoto walikua ni elfu 50, hapo kwenye vifurushi ni karibu laki 2, tunaambiwa wazee wa zaidi ya miaka 60 ni bure lakini hapo wana vifurushi vyao, ni watu wachache sana wenye watoto wanne na umri wao ni chini ya 35, wengi wenye watoto wa4 wanaangukia kwenye fungu la pili 36-59 ambapo gharama zipo juu.

Cha muhimu serikali ingepunguza zaidi hizo gharama angalau kiwango cha juu kabisa kiwe milioni moja, na iongeze fungu kufidia gharama za kutibu wananchi wake, watu wakiwa wazima watafanya kazi na serikali itapata kodi zaidi.
 
Hivi inamaana ule mfumo wa zamani ambao unaruhusiwa kusajili mwenzi.
Watoto...wazazi na wakwe chini yako ndio umeondolewa?
Mnaosema hivyo vifurushi ni bei rahisi labda kwa kulinganisha na bima zingine, watoto walikua ni elfu 50, hapo kwenye vifurushi ni karibu laki 2, tunaambiwa wazee wa zaidi ya miaka 60 ni bure lakini hapo wana vifurushi vyao, ni watu wachache sana wenye watoto wanne na umri wao ni chini ya 35, wengi wenye watoto wa4 wanaangukia kwenye fungu la pili 36-59 ambapo gharama zipo juu.
Cha muhimu serikali ingepunguza zaidi hizo gharama angalau kiwango cha juu kabisa kiwe milioni moja, na iongeze fungu kufidia gharama za kutibu wananchi wake, watu wakiwa wazima watafanya kazi na serikali itapata kodi zaidi.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom