NHIF kumbe ni mpango wa serikali kujitoa katika kugharamia matibabu ya wananchi wake?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946

1575280165294.png
 
Wasandawe 12:32-36:Umetumwa na mabeberu kuichafua serikali ya wanyonge

Mabeberu yanatuonea wivu jinsi tunavyojenga maflaiover na maleli ya umeme

Mabeberu yanataman JPM akawe rais kwenye nchi zao ili azinyoshe ziwe kwenye right track

Mabeberu yanatuonea wivu. Asema bwana
 
Nimeona Zitto akimuuliza waziri wa afya kama anaipinga ile barua atokee kwenye media , nasubiria afanye hivyo mbali na hapo serikali itadhihirisha inafanya mambo ya ajabu sana!
 
hata ukikata bima ya NHIF.. halafu mbeleni ukaumwa moyo, figo au kansa.. hawakutibu kabisa...

bima inatibu magonjwa ya bei rahis, magonjwa ya bei juu wanayakimbia
 
Maji ya Shingo hasa NHIF. Waruhusu mifuko mingine ya Afya ifanye hayo wamechemsha labda umonopoly umewashinda mayallaa kali sana
 
Kuna Jambo kimefichwa na kupitisha kwenye mlango wa bima ya afya! Nchi Haina fedha za kugharamia uchaguzi mkuu mwakani hivyo wanazitafuta kwa namna yoyote! Ona magawio feki Yale ya juzi dodoma ambayo malengo yamefikiwa kwa 30% tu! Nchi wafadhili na marafiki wamegoma kutoa misaada yao kwa sababu ya ukandamizaji wa demokrasia na mengine! Tutashuhudia mengi.
 
Kwani we walipa sh ngapi hadi utibiwe hayo magonjwa? Kwani lazima uugue hayo magonjwa?
Kula vizuri uone kama utaupata
hata ukikata bima ya NHIF.. halafu mbeleni ukaumwa moyo, figo au kansa.. hawakutibu kabisa...

bima inatibu magonjwa ya bei rahis, magonjwa ya bei juu wanayakimbia
 
Kwani we walipa sh ngapi hadi utibiwe hayo magonjwa? Kwani lazima uugue hayo magonjwa?
Kula vizuri uone kama utaupata

mbona malaria hausemi kula vizuri??

yaani magonjwa ya bei nafuu ambayo bila bima tunaweza jilipia mnayakubali.. magonjwa makubwa ambayo ikitokea tumepata mnayakimbia..

acheni wizi wa kuibia wa tanzania..

mbona hamturudishii hela zetu wazima ikitokea miaka mitano hatujaumwa

mfuko ni pool ya kusaidiana.. hela mnazonikata mimi ambaye siumwi zitumike kumtibia mwingine ambaye anaumwa.. sio mlipane maposho tu na kujenga magorofa.. huku wagonjwa wa magonjwa makubwa mnayakimbia..

yaani mnapenda kukusanya hela nyingi kwa sisi wazima ila kutumia hela nyingi tukipata magonjwa hamtaki.. huo si wizi..

nhif iache ibia wa tanzania
 
Si kweli Mkuu,kuna rafiki yangu alifanyia operation ya moyo kwa kufungua kifua kwani baadhi ya mishipa ya moyo ilikuwa imeziba gharama zake zilikuwa M 15,aliombwa kuchangia million tank kiasi kingine bima ili take cover,
hata ukikata bima ya NHIF.. halafu mbeleni ukaumwa moyo, figo au kansa.. hawakutibu kabisa...

bima inatibu magonjwa ya bei rahis, magonjwa ya bei juu wanayakimbia
 
Acha kupotosha Mkuu,una chanzo chochote kinachoeleza haya uliyoyaandika
Kuna Jambo kimefichwa na kupitisha kwenye mlango wa bima ya afya! Nchi Haina fedha za kugharamia uchaguzi mkuu mwakani hivyo wanazitafuta kwa namna yoyote! Ona magawio feki Yale ya juzi dodoma ambayo malengo yamefikiwa kwa 30% tu! Nchi wafadhili na marafiki wamegoma kutoa misaada yao kwa sababu ya ukandamizaji wa demokrasia na mengine! Tutashuhudia mengi.
 
Si kweli Mkuu,kuna rafiki yangu alifanyia operation ya moyo kwa kufungua kifua kwani baadhi ya mishipa ya moyo ilikuwa imeziba gharama zake zilikuwa M 15,aliombwa kuchangia million tank kiasi kingine bima ili take cover,

zamani ilikuwa inacover.. ila package mpya zote zimeacha ku cover... nenda kasome terms and conditions vizuri..
 
Kuna Jambo kimefichwa na kupitisha kwenye mlango wa bima ya afya! Nchi Haina fedha za kugharamia uchaguzi mkuu mwakani hivyo wanazitafuta kwa namna yoyote! Ona magawio feki Yale ya juzi dodoma ambayo malengo yamefikiwa kwa 30% tu! Nchi wafadhili na marafiki wamegoma kutoa misaada yao kwa sababu ya ukandamizaji wa demokrasia na mengine! Tutashuhudia mengi.
Hata wakikutukana bado nitakuita mkweli.
 
Kiongozi anasema hajaleta tetemeko, hajaleta mvua iharibu nyumba, hawezi kusema hajaleta magonjwa ili tujitibu kwa bima, walichafua kidole kwa kumchagua huyu kiumbe wamesababisha anguko kubwa sana la ubinadamu nchini. Huyu jamaa ni bure kabisa.
 
Acha kupotosha Mkuu,una chanzo chochote kinachoeleza haya uliyoyaandika
Wewe unalo linalosema kinyume na hili? Undhani yanayoandikwa hapa ni ya kubuni siyo? Kwa taarifa yako habari hizi ni za jikoni na Mimi ni muosha vyombo hapa jikoni! Endelea kuusaka ukweli unaoutaka wewe ili ulipinge bandiko langu.
 
Ndugu uckufuru Mungu plz hujafa hujaumbika

muache tu. ruge aliumwa figo akaomba michango...na ikulu ilimchangia sababu ana network.. muache yeye aje aumwe figo, moyo au kansa kubwa siku moja aone kama ikulu itamchangia... bima ya afya ni muhimu sana ku cover magonjwa yote.. maana hujui utakuja umwa nini na siku gani
 
Back
Top Bottom