NHIF Ilivyombana Zitto Twitter dhidi ya vifurushi, Je, Zitto anapotosha kwa maslahi ya nani?

blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
213
645
047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
13dc8389-4420-4e77-ab85-8b68e8a293af.jpg
ZITTO-01.JPG
 

Attachments

  • 047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
    047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
    62.6 KB · Views: 1
  • 047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
    047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
    62.6 KB · Views: 1
  • 13dc8389-4420-4e77-ab85-8b68e8a293af.jpg
    13dc8389-4420-4e77-ab85-8b68e8a293af.jpg
    53.9 KB · Views: 1
  • 133b40ed-b5b8-4168-87c2-587aeb2be961.jpg
    133b40ed-b5b8-4168-87c2-587aeb2be961.jpg
    100.1 KB · Views: 1
  • 047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
    047377e1-813f-46f5-bd22-7e9f68a0118b.jpg
    62.6 KB · Views: 1
Hili la watumishi ni ukweli. Nawaza je ndugu zetu mshahara utapungua ili kupokea ongezeko au kutakuwa na ongezeko la mshahara.
 
Hakuna wanachojitetea NHIF, kundi la watumishi binafsi nao ni watu.
Wanalipa kodi kama wananchi wengine.
Kuajiriwa sekta binafsi isiwe kama laana na mateso, serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote iweke uwanja sawa.
 
Ubinafsi umewazidi watumishi wenye dhamana ya kuandaa hivi vikundi, sheria na kanuni zake huko serikalini.
Wakumbuke kuna ndugu zao sio watumishi wa umma huku mitaani.

Ipo siku hili shimo wanalochimba watatumbukia wenyewe, namaanisha hata ndugu zao au wao wanaweza kutumbuliwa.
 
Wabunge pia hasa wa CCM ni wabinafsi sana au uwezo wao wa kuona mbali kifikra ni mdogo.
Wabunge na kamati husika za bunge wamekubali vipi kupitisha sheria na kanuni kama hizi za kibaguzi.
Nyerere alitoa hizi huduma bure, kama wao wanataka tuchangie hakuna shida ila uwepo usawa.

Wabunge na watumishi wa wizarani wanavifurushi vizuri vya bima ya afya na ndio maana hawajaweka msimamo kwenye mabadiliko haya.
Sasa kuna watu wanaoza, wanapata ulemavu, wanakufa mapema sababu ya vurugu hizi mpya za mabadiliko ya huduma za NHIF.
 
Kwa akili zako unaona Zitto amebanwa wapi? Huoni hilo tangazo, wapi limeandikwa ni kwa ajili ya Umma au binafsi?
 
Back
Top Bottom