NHIF badilikeni huduma zenu ni mbovu na majibu yenu hayaridhishi

Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
9,528
33,948
Inaumiza sana mtu unakatwa hela yako lakini Hawa watu wa Bima ya Afya hawakujali wala nini.

Ni wiki ya 3 sasa na siku kadhaa nakaribia kumaliza mwezi nahangaikia bima ya afya mwanzo walinitumia sms nikachukuwe bima nafika nakuta jina na langu lakini picha iliyopo kwenye bima siyo yangu, wakaniahid wataishughulikia ndan ya masaa 24 niende kesho yake lakin matokeo yake ni zaid ya wiki ya pili Sasa, napoteza muda napoteza na pesa, ukiwapigia simu ofisin kwao majibu yao ni ya hovyo na kufokewa juu.

Wenye mamlaka husika wapeni semina hao wafanyakazi wenu, wasijidai wamevurugwa na maisha wakat sisi wengine tayari tumevurugwa zaidi yao ila tunatumia busara.
 
Leo nimesikia pia watu wakitema nyongo kwenye Power Breakfast CloudsFm kuhusu hawa NHIF..
 
Ile bima ya watoto ya mwaka sasa hivi tunaambiwa ukimkatia mtoto, mpaka baada ya miezi mitatu ndio ataanza kupata huduma. Sasa miezi mitatu kwa mtoto si ni kama 3 yrs kabisa jamani. Anaweza kuwa kaugua mara kibao. Mwanzo ilikuwa siku 21, sasa hivi 90 duu! Hili waliangalie kwa kweli.
 
Leo nimesikia pia watu wakitema nyongo kwenye Power Breakfast CloudsFm kuhusu hawa NHIF..
Mkuu nimejibiwa majibu ya hovyo sana wakat nimepiga simu na nimeongea kistaarabu Sana na makosa ni yao kunitengenezea bima ambayo haieleweki, nimewavumilia najaribu kuwapigia sim kuuliza kama bima yangu tayar anapokea mwanamke anaanza kunifokea hatak nijue chochote
 
Pole saana mkuu
 
Acheni kulia Lia wabongo mtu akikutolea maneno machafu mfunze adabu kisawasawa.. Mambo mengine yabadirisheni Nyie sio kulia Lia
 
Ile bima ya watoto ya mwaka sasa hivi tunaambiwa ukimkatia mtoto, mpaka baada ya miezi mitatu ndio ataanza kupata huduma. Sasa miezi mitatu kwa mtoto si ni kama 3 yrs kabisa jamani. Anaweza kuwa kaugua mara kibao. Mwanzo ilikuwa siku 21, sasa hivi 90 duu! Hili waliangalie kwa kweli.
Kuna mama mmoja nilikutana nae anasema yeye anakatwa bima kweny mshahara wake na ni mgonjwa akienda clinic wanamwambia bima yake haitambulik sijui haisomi, na kule anakatwa hela, serekali inatakiwa iangalie sana huu upande utendaj wao ni mbovu sana.
 
Kuna mama mmoja nilikutana nae anasema yeye anakatwa bima kweny mshahara wake na ni mgonjwa akienda clinic wanamwambia bima yake haitambulik sijui haisomi, na kule anakatwa hela ,, serekali inatakiwa iangalie sana huu upande utendaj wao ni mbovu sana
Daa! Inaumiza saana hii.
 
Back
Top Bottom