NHC Jipangeni Kuboresha Makazi Nchini Na Si Biashara Ya Nyumba

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Leo nimeona Tangazo la Shirika la Nyumba wakitangaza juu ya Mradi mwingine mkubwa utakaojengwa Arusha ni mradii wa mji uliosheheni nyumba za makazi na biashara ikiwa pamoja na kila kitu,kweli utapendeza mno ikiwa utakamilika,lakini ombi au ushauri kwangu kwa serikali kupitia NHC wangerejea utaratibu wao waliofanya miaka ya 70 pale walipozijenga nyumba nyingi za makazi mfano kwa Dar zile zilizokua magomeni,ilala nk....wangeendea na utaratibu ule waanzie mfano Kwa Dar waanzie na Magomeni Kagera,Mburahati,Manzese,Mkwajuni na hata Sinza na Mabibo kabla ya kumove Kimara na mbagala na kwingineko,Mji ungependeza sana kuliko hali ilivyo sasa nyumba zimesongamana na nyingi zimejengwa kwa ujenzi wetu wa kimasikini yaani chini ya kiwango/Standard.Hivyo NHC Boresheni makazi kulikoni kufanya biashara ya nyumba kwa bei zisizoshikika !kama mtajenga na kupangiisha kwa affordable rent mtapata faida kubwa tu,Tujifunze mataifa yalioendelea kwao wengi huishi ktk byumba za serikali kwa bei poa.
 
Hata kuboresha nayo ni biashara ya nyumba kwani akiboresha hatatengeneza faida?

Biashara=Faida.
 
Back
Top Bottom