NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

Lazima tubadilishane vijiti,
mda wa Nehemia kula umepita,
apishe na wengine wale sasa
Mawazo ya kimaskini na mtu asiyeelimika,kumbe huwa wanateuliwa kufanya Kazi kwa nafasi walizoteuliwa au kwenda kula pesa tu?Hebu tuelimishe hii scenario unayoizungumzia ili tuelewe.
 
Karibu NHC....
Sijui atajilipa mshahara kiasi gani Huyu MD mpya

OvA
 
Bodi ya Wakurugenzi NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

Anachukua nafasi ya Nehemiah Mchechu aliyesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

Tanzania full vituko. Hii bodi kwani ilikuwa na majina tayari wakawa wanasubiri Mchechu asimamishwe ili wamteue? Na kwa nini wamteue kukaimu na sio kuwa Mkurugenzi mkuu? Wanataka awe puppet?
 
Wapinzani wepi? Hawa watu wa kaskazini?

Hivi umesahau kwamba ukiuwa kwa upanga nawe utakufa kwa upanga?

Tukuwekee ule waraka wenu Uvccm kwamba Rais hawezi kutoka kaskazini? Au ulikuwa bado hujaanxa kupokea buku 7 kipindi hicho?
Ulete huo waraka mkuu.
 
Hizi mbona hoja za uchochezi? Mbona mnapenda kuharibu future ya maxence mello, mwishowe atachoka awatajeni.
Na jukwaa likigeuzwa sehem ya kueneza propaganda za kidini,ukanda na ukabila lzm litapigwa ban tu.Nafikiri uongoz wa jf unatakiwa kudeal na hii hali.Watu wanataka CV mwingine anaibuka ooh CV ya nn kati umeambiwa ni lake zone.Kuna possibility jf kupigwa ban kama wajinga wajinga wataendelea kuchekewa.
 
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.Pole ni methali tu
Komaeni coz huenda ni hoja itakayowaingiza madarakani 2020.Angalizo ni mkitaka ikulu muisikie miaka 800 endeleeni kupambana na kanda ya ziwa na muendelee kuimba ukanda.Kwa Tanzania huwez huwez pambana na kanda ya ziwa ukatoboa na huwezi pambana na katoriki ukatoboa.NB.Mi ni mwenyeji wa Nyanda za Juu kusini na Sio mkatoriki so nachokuambia sina maslai nacho ila ndio uhalisia.
 
Too low,tunakoelekea ni kubaya mno wala sio sifa kuuliza mtu atokako

Hii nchi ni kubwa yapasa tuitumikie wote na tuile wote.
Waislamu, wakristo, wa kusini, wa magharibi, wa mashariki, wa kaskazini na wa kati wote ni watanzania na tunahitaji nafasi
 
Mkuu kuna watu ni WAPUMBAVU SANA.Yani jitu hata haliangalii CV ya mtu lenyewe linakimbilia ukanda.Kwa maana hii wanataka serikal itoe orodha ya viongoz wote na sehem wanakotoka.Upinzan unaelekea kulaaniwa .
Serikali ya majimbo ni ya ukanda watetezi wakubwa wa Sera za ukanda ambazo wameziweka hadi kwenye katiba ni Chadema. Chadema ukanda ni Sera rasmi na iko kwenye katiba.ukisikia serikali ya majimbo ni ya kanda ambako vyeo vyote raslimali zote na teuzi zote lazima ziwe za kanda.Ndio maana Chadema kutekeleza sera za ukanda viongozi wote wakuu wa chadema na wabunge wengi viti maalumu na wafuasi wengi wa chadema wanatoka kanda ya kaskazini kilikoanzia Chadema kanda zingine wasindikizaji wakiwemo akina msigwa,sugu nk
 
Mkuu huyu mtu ni mkinga huko Tanga ni gelesha huyu bwana maisha yake kwa ujumla ni ya kuungaunga
Kuna watu wengi hawalifahamu hili
Nina rafiki yangu ni mtu wa Muheza, wana taasisi yao inaitwa Muheza Tiwamwe ilianzishwa na kina Adadi Rajabu huyu Mchechu naye yupo humo kuboost fund.

Anyway Tanzania ina maajabu yake kuna Muhindi kashinda kura za maoni ccm huko Singida kwa Nyalandu.
 
Chadema ndio wabaguzi wakubwa ma architect wa Sera za majimbo na wasiojitambua.kuanzia nyerere hadi kikwete walifaidika sana na mfumo dhaifu wa CCM wakajazana miofisi ya serikali kiupendeleo wakafisadi sana nchi wakajiona wao ndio wenye akili nchi hii.kwa hali ya kawaida ungetarajia wao ndio wawe wafuasi waaminifu wa CCM kwani mfumo dhaifu wa CCM uliwapa nafasi kuiba na kufisadi,kujipendelea nk.Kwa hiyo kwao CCM dhaifu ngekuwa ndio baba yao na mama yao
Unachanganya, huo ni mfumo kristo ndio uliowabeba.

Kama huvielewi hivi vitu ni bora ukae kimya tu. Kaskazini ni watiifu kwa kanisa katoliki tofauti na kanda zingine wanaokumbatia usabato, ulokole na uislamu.
 
Back
Top Bottom