Ngwair asisitiza tena: "wanaume mashoga wanatupunguzia ushindani wa kupata mademu"

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
NGWAIR ASISITIZA TENA: "WANAUME MASHOGA WANATUPUNGUZIA USHINDANI WA KUPATA MADEMU"

Albert4.jpg

Rapper wa East Zoo, Albert Mangwea amesema ongezeko la mashoga wengi nchini halimuumizi kichwa kwakuwa linampunguzia ushindani wa kuwa na mademu wakali.

Akiongea na Power Jams ya East Africa Radio jana, amesema anashangaa jinsi mwanaume anavyoamua kuukaata uanaume wake na kuwa kama mwanamke.

“Angalia mila zetu za kiafrika, ukiangalia dini hazikubali kwamba mtoto wa kiume awe gay, hiyo tunajua yaani, common sense yenyewe hata mtoto mdogo si vitu vya kuelekezana lakini kuna watu wametokea sijui kama ni hulka au nini ambao huwezi kuwabadilisha pia huwezi kumurder mtu.

Watu wamekuwa wako hivyo, ukiangalia mila za kiafrika hadi akina mswati machief wetu walikuwa na mke zaidi ya mmoja, waislamu wanafanya hivyo, yaani wanawake wako wengi kwaajili ya wanaume sasa wanaume wengine wanapoamua kuwa kama wenyewe, wanapunguza mchuano, watoto wazuri wanatuachia tu.

Kwahiyo mimi naona kama wao wamekataa kuwa wanaume, alisema Ngwair.”

Hata hivyo amesema watu wasimwelewe vibaya kuwa anaunga mkono ushoga kutokana na kauli yake.

“Sio kama naunga mkono lakini pia sababu wenyewe wameukataa uanaume wao mimi naona poa tu kwakuwa wanatuachia watoto wazuri wengi tu.”

“How comes yaani mtoto wa kiume anakuwa gay. Mambo ya kuigaiga western huko. Western kitu cha kawaida. Lil Wayne alishaulizwa bana wewe ukipata mtoto wa kiume utajisikia vipi? Akasema nikipata mtoto wa kiume sitajua kama mtoto wa kiume, ntasubiri mpaka akue ndo nijue.”

Huenda amejijua kuwa ni shoga hivyo akadhani wanaume wote ni mashoga including baba yake. Hakuna kitu kibaya kama generalization. Mangwair kwani hana jina lake hadi atumie majina ya kupanga? Mtu mwenyewe anaonekana mlevi kama siyo mtu ambaye kwamba-- psychokick.
 
Ila anapoint anaposema kuiga mambo ya west....
Kuna mambo mengine yana chukiza hata kama ya west......
 
Huenda amejijua kuwa ni shoga hivyo akadhani wanaume wote ni mashoga including baba yake. Hakuna kitu kibaya kama generalization. Mangwair kwani hana jina lake hadi atumie majina ya kupanga? Mtu mwenyewe anaonekana mlevi kama siyo mtu ambaye kwamba-- psychokick.

sasa awe shoga afu ashangae tena wanaume kuwa mabinti?
 
Nimesema hayo kusudi hasa baada ya kuona hilo sikio lake. Kutoga masikio kwani siyo kuigiza west? Mie naona wote walewale. Kama hajatoga anisamehe.
 
Huenda amejijua kuwa ni shoga hivyo akadhani wanaume wote ni mashoga including baba yake. Hakuna kitu kibaya kama generalization. Mangwair kwani hana jina lake hadi atumie majina ya kupanga? Mtu mwenyewe anaonekana mlevi kama siyo mtu ambaye kwamba-- psychokick.

hiyo bold bangi ndo nyumbani!
 
Back
Top Bottom