Nguzo zaaanguka Tabata, zajeruhi na kufunga barabara

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Zaidi ya nguzo sita na transfoma tatu zimeanguka Tabata na kujeruhi watu pamaoja na kuziba barabara kutokana na uchakavu wa miundombinu
Mfanyakazi wa Tanesco amewataka wananchi waache kukaa chini ya nguzo za umeme kwani kuna madhara kama hayo yanajitokeza
 
Utaratibu wetu bado ni uleule haujabadilika ''Kuchukua hatua baada ya maafa''
 
Zaidi ya nguzo sita na transfoma tatu zimeanguka Tabata na kujeruhi watu pamaoja na kuziba barabara kutokana na uchakavu wa miundombinu
Mfanyakazi wa Tanesco amewataka wananchi waache kukaa chini ya nguzo za umeme kwani kuna madhara kama hayo yanajitokeza

Tukiwaambia wanafanya kazi kimazoea, tukiwaambia wachukue tahadhari kabla ya majanga kutokea wanasema wao ni wataalamu wasifundishwe kazi, kuna nguzo nyingi mikoani zimekaa kihatari, nashauri Tanesco Makao Makuu wekeni namba zenu wazi ili tuwafahamishe yanayojiri Mikoani nanyi mchukue hatua za haraka
 
Hapo mpaka kuja kutengeneza utachukua muda mrefu bila sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom