Nguzo ya kujenga taifa bora ni ipi?

KAZIMOTO

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
1,073
324
Tafakuri yangu.

Dini haiwezi kuwa nguzo ya binadamu kufaulu au kufanikiwa katika masomo ya Elimu dunia. . Elimu ya dini haina uhusiano wowote na Elimu dunia kila moja inajitegemea. Kwa wanaojidanganya kwamba kuijua Elimu ya dini/Elimu ya kiroho ni tiketi ya kuishinda Elimu dunia wanafanya kosa kubwa kwa vizazi vyao.

Tupende tusipende vitabu vya dini havina majibu ya Elimu dunia, vinginevyo kusingekuwa na sababu ya kuwepo shule za Elimu dunia. Masomo yote tungekuwa tunasomo ama Kanisani au Msikitini.

Wayahudi wanasadikiwa kuwa na akili bora zaidi hapa duniani. Hii haina maana kwamba dini yao ni bora kuliko zingine au ubora wa dini yao ndio umewafikisha hapo.

Tupende tusipende vitabu vitakatifu havina maelezo ya masomo ya;

1. Sayansi
2. Hesabu.
3. Historia.
4. Physics
5. Chemistry
6. Geography.
7. Language ( lugha moja inayounganisha dunia yote).
8. Bookkeeping
9. Economics.
10. Commerce
11. Na masomo yote ambayo hayajaandikwa kwenye vitabu vya dini.

Tupende tusipende lazima tukubari ukweli huu.
 
Wazo langu linatufumbua fahamu ni kwa kiasi gani imani zetu zina mchango katika mafanikio au anguko letu. Naomba kutoa hoja.
 
nguvu kubwa tunayoelekeza katika kushindanisha dini bora ingeelekezwa pia katika kushindanisha kusaka weredi kwenye masomo yaliyo nje ya dini zetu hakika tungefika mbali na kujenga taifa bora.
 
Ndugu Kazimoto itategemea hiyo dini unataka kuitumia kupata nini. inaweza kukuboreshea maisha au kukuharibia.
Jaribu kurejea historia ya kuibuka kwa Ubepari na misingi mbalimbali ya kiimani waliyoitumia kufanikisha ubepari. Mfano Calvinist nchini ufaransa walihubiri habari za kuwa frugal na kuwa na maisha mazuri hapa duniani kama ishara ya kubarikiwa na Mungu. Hivyo waumini wao walitakiwa kuwa watu wa kujituma kufanya kazi, rejea maandiko ya "asiyefanya kazi na asile" kusoma kwa bidii rejea maandiko ya 'mshike sana elimu" kuwa wa baili na kujiwekea akiba nakadharika.
 
Na itakuwaje ikiwa nikivishika vyote kwa umakini mkubwa,kila kimoja ni kikipa nafasi inayostahili?
 
soma tena bandiko langu ni kama hujanielewa au mimi ndiye sijakuelewa.

katika kusaka elimu dunia natoa angalizo kuwa dini haina majibu yote kuhusu elimu dunia kwa mantiki hiyo washika dini zao wajue kwamba wana wajibu tofauti wa kuisaka elimu dunia.
 
Na itakuwaje ikiwa nikivishika vyote kwa umakini mkubwa,kila kimoja ni kikipa nafasi inayostahili?

utakuwa umeipatia zaidi dunia na kuyapatia maisha lakini uzoefu unaonyesha kwamba wanaopigania dini zao muda wote wanasahau kuikabili elimu dunia kama added advantage ya kuitawala dunia. Baadhi ya washika dini hawaoni haja ya kupata vyote viwili. Kundi hili ndilo naona linapotea na kamwe halitakuja kuitawala dunia.

Kumbuka wayahudi ni kundi dogo la watu wanaokadiriwa kufikia milioni 14 na waarabu ni kundi kubwa linalokadiriwa kukaribia watu bilioni 1 lakini wayahudi wana nguvu ya sayansi na inapambana na kundi kubwa. Hii inatuonyesha umuhimu wa elimu dunia ili kuitawala dunia.
 
Tafakuri yangu.

Dini haiwezi kuwa nguzo ya binadamu kufaulu au kufanikiwa katika masomo ya Elimu dunia. . Elimu ya dini haina uhusiano wowote na Elimu dunia kila moja inajitegemea. Kwa wanaojidanganya kwamba kuijua Elimu ya dini/Elimu ya kiroho ni tiketi ya kuishinda Elimu dunia wanafanya kosa kubwa kwa vizazi vyao.

Tupende tusipende vitabu vya dini havina majibu ya Elimu dunia, vinginevyo kusingekuwa na sababu ya kuwepo shule za Elimu dunia. Masomo yote tungekuwa tunasomo ama Kanisani au Msikitini.

Wayahudi wanasadikiwa kuwa na akili bora zaidi hapa duniani. Hii haina maana kwamba dini yao ni bora kuliko zingine au ubora wa dini yao ndio umewafikisha hapo.

Tupende tusipende vitabu vitakatifu havina maelezo ya masomo ya;

1. Sayansi
2. Hesabu.
3. Historia.
4. Physics
5. Chemistry
6. Geography.
7. Language ( lugha moja inayounganisha dunia yote).
8. Bookkeeping
9. Economics.
10. Commerce
11. Na masomo yote ambayo hayajaandikwa kwenye vitabu vya dini.

Tupende tusipende lazima tukubari ukweli huu.
Mkuu unaweza kuwa ulikuw an alengo zuri ila, jinsi ulivyoli approache hili umekuwa very wrong.Dini inaweza isiswe na details za hayo masomo ila inaweza kuwa nguzo kubwa sana hasa:

-Claims za dini zimekuwa ndio mwanzo wa wanasayansi kujaribu tafuta jibu.Akina Newtons, eistein etc
-Dini inahimiza watu kusoma na kufanya tafiti na kuwapa matumaini kuw akuna kesho na life after.Dini inaleta matumaini ya kuishi.Hii ni mojawapo ya misingi ya mtu kupata elimu.Watu waliokata tamaa ni wabinafsi, hawaoni haja ya kufanya kazi, kusoma muda mrefu ahlafu waje kufa na kuviacha hivyo vitu kwa ajili ya wengine.

-Binadamu hajawa kiumbe rahisi kumcontrol zaidi ya hofu ya Mungu, wapo wanaoanguka ila wote hata kuko sirini waendapo huwa wanakuwa na hofu na hivyo kupambana ili kumaintain a sense of ethics.Desciplines zote zinahitaji ethics ili binadamu a Excell ,watu wasio na sense ya ethics hustruggle kufanya mbinu za ku kwepa wasishikwe ktk makosa na si kutotenda kabisa.

Mitume walongea hesabu na sayansi.Yesu Aliongea Percentage wakati akilinganisha masikini na tajiri ktk Zaka, aliongea project management aliposema huwa mtu mwenye akili hukaa chini na kupiga mahesabu kablaya kujenga nyumba,aliongea human rights kwa kuweka viwango vya kupima haki, kw akuanzia kwa mtu kufanya kile alichopenda naye kutendewa.

Kuna mengi sana ktk BIblia ambayo yalifanyika kw anamna iliyowaongoza wanasayansi kutafuta majibu yanayoelezeka kama tunavyosoma leo na baadaye wakaenda mbalia zaidi.Mfano, kabla ya kujua cycle ya mvua, wanasayansi walifuatia kwa makini maelezo ya manabii.Na walipokuja gundua evaporation ndipo wakaona thamani ya hayo.

Sheria nyingi duniani za kiserikali zina isingi ktk Ukristu/Uyahudi kuliko dini nyingine zote duniani.

Ki uhasilia Maandiko ya hayasemi details za sayansi kwa vile havikukusudiwa hivyo, ila Ujenzi wake kwa binadamu anayekwenda soma hayo masomo si wa kupuuzwa kabisa.Kwa bahatai mbaya sana hata mataifa yasiyo na utamaduni wa Kikristu/Kiyahudi, wamefaidika na hizo tamaduni indirectly kupitia elimu dunia, kama phylosophy, democracy, sports, laws etc.

So kutoa elimu hii ktk nguzo ni makosa, ila kutilia mkazo dini tuu kizembe kuliko masomo halisi ni makosa,.So pengine ungeweka sawa zaidi.
 
Back
Top Bottom