KAZIMOTO
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 1,073
- 324
Tafakuri yangu.
Dini haiwezi kuwa nguzo ya binadamu kufaulu au kufanikiwa katika masomo ya Elimu dunia. . Elimu ya dini haina uhusiano wowote na Elimu dunia kila moja inajitegemea. Kwa wanaojidanganya kwamba kuijua Elimu ya dini/Elimu ya kiroho ni tiketi ya kuishinda Elimu dunia wanafanya kosa kubwa kwa vizazi vyao.
Tupende tusipende vitabu vya dini havina majibu ya Elimu dunia, vinginevyo kusingekuwa na sababu ya kuwepo shule za Elimu dunia. Masomo yote tungekuwa tunasomo ama Kanisani au Msikitini.
Wayahudi wanasadikiwa kuwa na akili bora zaidi hapa duniani. Hii haina maana kwamba dini yao ni bora kuliko zingine au ubora wa dini yao ndio umewafikisha hapo.
Tupende tusipende vitabu vitakatifu havina maelezo ya masomo ya;
1. Sayansi
2. Hesabu.
3. Historia.
4. Physics
5. Chemistry
6. Geography.
7. Language ( lugha moja inayounganisha dunia yote).
8. Bookkeeping
9. Economics.
10. Commerce
11. Na masomo yote ambayo hayajaandikwa kwenye vitabu vya dini.
Tupende tusipende lazima tukubari ukweli huu.