Elections 2010 Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi zaidi - Nipeni Nafasi

Haya mambo ukiweza kuyaunganisha ni raha kweli. Yaani kifupi cha slogan mpya ya ccm ni ANGUKA zaidi. Tunashuhudia leo katika ufunguzi wa kampeni mh akianguka zaidi. Apumzike tu maana sijawahi kumsikia mtu mzima Mugabe akianguka
 
p6(80).jpg
 
tumpeni jamani ajaribu tena kwani tunajifunza kutokana na makosa azu hamjuiwajameni????
maisha bora hayaji kwa miaka mitano tumpe nafasi atekeleze ahadi yake hiyo tukufu.

Tanzania siyo shule au maabara ya kujifunzia kuongoza; radi haipigi mara mbili!!

Watanzania tulivokuwa wajinga tutaruhusu ujinga huo kwa kuipa CCM kura zetu tena kusudi waendelee kugawana raslimali zetu baiana ya familia zao na atu wa nje; ndipo tutakapojikuta tunaendelea na maisha ya aina hiyo hiyo ya mapangoni wakati wenzetu wanazungumzia maisha ya eLife.
 
WATU WALIKUWA WENGI JANGWANI KIASI ILIKUWA TABU KUONA ........huduma nazo hazikuwa haba.....ambulances....mobile toilets....na wanahabari wa kutosha kutoka vyombo kama TANZANIA DAIMA ,RAI NA MWANAHALISI VILIPAMBA MKUTANO HUO...!
 
WATU WALIKUWA WENGI JANGWANI KIASI ILIKUWA TABU KUONA ........huduma nazo hazikuwa haba.....ambulances....mobile toilets....na wanahabari wa kutosha kutoka vyombo kama TANZANIA DAIMA ,RAI NA MWANAHALISI VILIPAMBA MKUTANO HUO...!

Kumbe inawezekana?!
 
Mnafiki mkubwa, mbabaishaji na msanii mkuwa wewe. Upewe nafasi tena? Tuliyokupa 2005 ulitumiaje? Unataka kutuangamiza watanzania sio? Ili uwe na rekodi ya Rais aliyeongoza nchi kihuni, lakini ukaendelea kupigiwa makofi? Ni wajinga tu kwa sababu hawajui wanalofanya. Wangejua, badala ya kukupigia makofi wangelia na kukuzomea.

Miaka mitano inakutosha, tumekwishafuhamu kuwa ni mbabaishaji, huna lolote. Mwaka huu HATUDANGANYIKI. Hupati kura zetu na za watu makini. Ila za wahuni wenzako zimendee. Hukooooo.
 
Back
Top Bottom