Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
.
Wuuh wuuh!!Duh..!
Mubashara huyo n mtu wa call me J
Naamini government inamfanyia mipango Bashite wamtengenezee vyeti orijino,Bashite ni mtu wao. Lakini angekuwa mtu ambaye sio uvccm Bashite angekuwa jela sasa.
Mzee hakutegemea kama yatakuwa haya kawa mpole...ila anadhihirisha upendeleo wake tena wa ukabilaWatamtengenezea lakini ukweli utabaki pale pale jamaa hana vyeti.Hivi Classmates wake na school mates wake hawapo??Na wakuu wa shule alizosoma.Majirani je??Ndiyo maana darasa ametuimbia unataka kukimbia wakati huna break,what do you expect.!