Nguvu za kiume na ukimwi....!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Kutokan na wimbi kubwa lamatangazo ya dawa za nguvu za kiume nimekuwa nikifanya utafiti binafsi ...(sihitaji mfadhili) kuhusu eneo hili.Mojawapo ya eneo muhimu sana ni uhusiano wa upungufu wa nguvu za kiume na UKIMWI,
Tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kuwa na athari mbaya katika maambukizo ua UKIWMI.
Watu kadhaa wenye tatizo hili wameeleza kuwa inakuwa ni ngumu kutumia condom kama unaupungufu wa nguvu ,matokeo yake wengi huvua katikakati ya tendo ......hebu nipeni uzoefu nimalizie thesisi yangu!
 
mnh naona kama ya kufikirika zaidi....
yaani wanavua,halafu wanaendelea na tendo???au sijakuelewa??

anyway,wanaotumia hayo maviagra nadhani wangetupa mwanga juu ya jambo hili..
 
Ni kweli kuwa with Kondom kwa wenye upungufu wa Nguvu za kiume(kuna sababu nyingi za kukosa nguvu za kiume,mfano kama unasex maranyingi kwa wiki,au kama unakunywa sana bia,au kisukari etc)unaweza kutumia zaidi ya dakika 40 bila kufikia climax(kileleni).
Ni kweli wengi wanavuaga Condom kutokana na hili.pia walio wengi awajui jinsi ya kuvaa hizo condom properly so zinaishia kuwa karaha baada ya raha.
 
Chipukizi hii ndo Salsa au ndo nini tena .....
au ndo future Kiduku???hahahha lol
 
Ni kweli kuwa with Kondom kwa wenye upungufu wa Nguvu za kiume(kuna sababu nyingi za kukosa nguvu za kiume,mfano kama unasex maranyingi kwa wiki,au kama unakunywa sana bia,au kisukari etc)unaweza kutumia zaidi ya dakika 40 bila kufikia climax(kileleni).
Ni kweli wengi wanavuaga Condom kutokana na hili.pia walio wengi awajui jinsi ya kuvaa hizo condom properly so zinaishia kuwa karaha baada ya raha.

Kwani kufika climax haraka ndio nguvu za kiume? Suala la nguvu za kiume lipo kwenye uwezo wa ku-maintain stiff erection kwa muda mrefu. Suala la kuchelewa kufikia orgasm in fact, ni zuri zadi, kwa sababu ina maana mwanaume anaweza "kusugua" kwa muda mrefu na kumfikisha mwanamke. Kuhusu matumizi ya kondom, si watu wenye ukimwi tu au waliopungukiwa na nguvu ndio hawataki kuvaa condom. Ni suala la kisaikolojia zaidi, ambapo mtu hapendi condoms au la anakuwa na ka-imani kidogo kuwa labda huyo mwanamke hawezi kumwambukiza ngoma.
 
utafiti umegundua moja ya sababu ya kupungua nguvu za kiume.ni hawa kuku wa broiler tunaokula..madawa yanayotumika humo sio.kama wala hawa kuku acha haraka
 
weka questionnaires zako hapa tukujibu....! utafiti gani huo ambao audience tunakutungia wewe researcher maswali?
 
Back
Top Bottom