themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Nguvu za kiume ni sawa na kidonda tu au ngozi iliyochanika kuwa inajifunga yenyewe yaani hilo tatizo linaweza kuisha pasipo kutumia dawa ila ujue tu limesababishwa na nanini
Kama ni mfumo mbovu wa kula basi nakushauri tafuta kiwanja kizuri kila jioni anza kufanya mazoezi ya kulimbia kisha ingia youtube kuna zoezi la kgl exercise lile zoezi liko poa sana ndani ya mda mfupi utayaona matokeo mazuri
Kula mlo mzuri hasa nyama za baharini kama samaki na pweza kila siku, samaki wana matokeo mazuri sana kuufanya uume usimame na kupata hisia haswaa, pia mlo wako penda kula pili pili na Tangawizi,kila siku , pili pili na Tangawizi zina madini ambayo huchochea hisia na kufanya uume usimame vyema na kusimamia tendo kwa mda mrefu
Kisha hakikisha uwe kwenye mahusiano na mwanamke ambaye anakupeda na analielewa tatizo lako huyo atakupa ushirikiano kurudi kwenye hali yako
Ukiwa na mwanamke mwenye mdomo mchafu, usitegemee kusimamisha unaweza ukawa umepona ila uwoga ukakufanya uogope kusemwa mwisho ukajihisi bado una tatizo kumbe ni hofu
Kama tatzo lako linasababishwa na mlo mbovu basi achana na madawa fuata huo ushauri utakuja kunishukuru
==========
Nimewapa ushauri sababu lishawahi kunitokea nikagundua ni mfumo mbovu wa kula kupitiliza vyakula vya viwandani na vyenye mafuta sana, na kutokufanya mazoezi, nikapata ushauri nikaufanyia kazi, niliwahi kaa miaka 3 naogopa wanawake kabisa nikihofu kuchekwa maana unafikiria mwanaume ushavuliwa nguo alafu uume hausimami ni aibu hivyo mahusiano nikaachana nayo kwa uwoga
Nikaja kupata mwanamke amabae alinipenda sana na akaja akashtukia nna hilo tatizo ila akawa kimya hakuwa anatoa maneno machafu wala kunivunja moyo ila alionyesha upendo tu, nilivyopata huu ushauri nikawa nafanya mazoezi kila jioni pia nikawa nakula samaki kwa wingi hasa michemsho ya pweza na sato na samaki wengine, nikawa nakula pili pili na tangawizi kila siku, kwa sasa napiga show vizuri hadi bao 3 naenda vizuri mwanamke mwenyewe anasema basi