Nguvu za kike

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,267
4,715
Naomba kuuliza: hivi wanawake huwa wana nguvu za kike?, huwa wanaishiwa/pungukiwa nguvu za kike?. Huwa naona matangazo- "dawa ya kuongeza nguvu za kiume". Mbona sijaona tangazo la kuongeza nguvu za kike?. Naomba michango yenu.
 
Hii imenichekesha. Ila kwa kujaribu kujibu tu swali lako, nadhani utakuwa unazungumzia "libido"....ile hamu hamu ya kufanywa (kufanya) na ulowanaji wa pie....
 
...jibu ni ndio, wao pia huishiwa, ila sijui MENOPAUSE kwa kiswahili inaitwaje.
 
Unazungumzia stimu? nguvu ya aina gani? wao kiungo chao ni cha kupokea tu! kwa hiyo sidhani kama wanahitaji nguvu ya ziada kwenye hilo
 
menopause ni kipindi ambacho mwanamke anafikia wakati wa kutokuona siku zake za hedhi za kila mwezi,
hii inaanzia miaka 45 kuendelea.
 
Naomba kuuliza: hivi wanawake huwa wana nguvu za kike?, huwa wanaishiwa/pungukiwa nguvu za kike?. Huwa naona matangazo- "dawa ya kuongeza nguvu za kiume". Mbona sijaona tangazo la kuongeza nguvu za kike?. Naomba michango yenu.
Mdau,kwanza pole kwa hilo linalokutatiza pengine kuan kitu kimetokea lada kikakumbusha juu ya swala hili.
Kwa uelewa wangu swali lako nitaliweka hivi:
  1. Mwanaume ana maumbile tofauti na mwanamke hususani tukiongelea sehemu za uzazi."Among men, it's usually just a physical process problem. With women, on the other hand, the process is much more complicated, ranging from hormonal changes to depression and stress and anxiety and medications
  2. Mwanaume huhitaji msukumo wa damu kumwezesha kujaza kizazi chacke damu na kuonekana kwa kawaida kuwa amesimamisha
  3. Mwanamke haitaji msukumo wa damu mkubwa kwa ajili ya kuwa tayari kufanya mapenzi/ngono
  4. Tofauti kuu mbili zinazosababisha kufanya mapenzi/ngono: Hamu ya kufanya mapenzi na Nguvu za kufanya mapenzi( kwa lugha halisi na rahisi ni desire and ability).Impotence and loss of libido are two very separate things,When libido drops and impotence is not a problem, there are numerous factors a doctor might suspect as the cause. Something must be done to increase sex drive. When you're sick, libido suffers. Any medical problem or chronic physical condition can cause a reduction in one's sex drive. If a man is diagnosed with cancer, sex may be the furthest thing from his mind for a time. But even minor illnesses can diminish a man's sexual interest. Conversely, when men improve their health -- through exercise, a low-fat diet or, if necessary, medical treatment -- their libido is likely to increase.
  5. Wanawake hupungukiwa hamu ya kufanya mapenzi/ngono sawa na wanaume kwa kitaalam tunaita Libido( low sex drive).
  6. Nguvu za kiume ni ule uwezo wa mwili wako kama ww ni he kuweza ku maintain constant supply of blood toward penis(uume) na hii huchochewa pia na uwezo wa mwili kufanya kazi.
  7. kwa mantiki hii,ili mwanaume awe na uwezo wa kufanya mapenzi lazima awe na nguvu za kuime(priority) pili sex drive.
  8. Mwanaume anaweza fanya mapenzi/ngono akiwa na nguvu( Stamina) ila yawezekana asiwe na hamu(sex drive)
  9. SummarY( every gender suffers the consequences of libido and importence for men(erectile dysfunctional),for men its rather a physical and Psychological issues but for women its a very complicated phenomenon.
Kaka nimejadili hoja Wengine waendeleze kama kuna nyongeza ama punguzo
 
Umejibu vizuri sana...!

Sema nilikua naomba kuongezea swali kidogo hapo...!

1. Hivi kuna madhara gani ya kuangalia picha za ngono/Video za ngono...! Ni kipi kinaadhirika zaidi? Libido au Stamina au erectile dysfunction au impotence?

2. Premature ejaculation inatibikaje? Je kuana dawa maalum ya kutibu tatizo hili?
 
...jibu ni ndio, wao pia huishiwa, ila sijui MENOPAUSE kwa kiswahili inaitwaje.

Menopouse ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kupata siku zake za mwezi kutokana na hormonal changes. Inategemea lakini mara nyingi ni katika miaka ya 50. Kwa mantiki hiyo ni hao wa kundi hilo watakakosa hedhi za mwezi na si kila mwanamke. Menopouse haihusiani na ashki[libido] na kwahiyo mwanamke aliyefikia umri huo bado anahitaji huduma kama wengine.
Libido ni ashki ya kufanya mapenzi na ipo kwa jinsia zote. Tunaposema mwanaume ameishiwa na nguvu hatuna maana hana libido. Maana halisi ni kuwa ile ''power of erection'' [kudisa] samahani kwa neno, inakuwa imepungua kiasi kuwa uume hauwi katika hali muktadha kwa shughuli anwai. Mwananke kwa maumbile yake hapati erection kama ya mwanaume, hii haina maana hana libido, la hasha libido inakuwepo.
Hitimisho: menopouse haihusiani na suala la kujamiana moja kwa moja ila inawahusu akina mama walio umri fulani. Hii haipunguzi libido ingawa kwa muda mrefu na umri libido inapotea kama kwa wanaume kutokana na hormonal changes.
Kudisa ndio kunaleta kinachoitwa ''nguvu za kiume'' na hapa ndipo viagra inapoingia kati. Mwanamke hahitaji kudisa na suala la kupungukiwa nguvu halipo,isipokuwa anaweza kupungukiwa libido.
[samahani kwa lugha yenye ukakasi,lakini kitaalamu sikuwa na jinsi. Natanguliza samahani tena]
 
Mdau,kwanza pole kwa hilo linalokutatiza pengine kuan kitu kimetokea lada kikakumbusha juu ya swala hili.
Kwa uelewa wangu swali lako nitaliweka hivi:
  1. Mwanaume ana maumbile tofauti na mwanamke hususani tukiongelea sehemu za uzazi."Among men, it's usually just a physical process problem. With women, on the other hand, the process is much more complicated, ranging from hormonal changes to depression and stress and anxiety and medications
  2. Mwanaume huhitaji msukumo wa damu kumwezesha kujaza kizazi chacke damu na kuonekana kwa kawaida kuwa amesimamisha
  3. Mwanamke haitaji msukumo wa damu mkubwa kwa ajili ya kuwa tayari kufanya mapenzi/ngono
  4. Tofauti kuu mbili zinazosababisha kufanya mapenzi/ngono: Hamu ya kufanya mapenzi na Nguvu za kufanya mapenzi( kwa lugha halisi na rahisi ni desire and ability).Impotence and loss of libido are two very separate things,When libido drops and impotence is not a problem, there are numerous factors a doctor might suspect as the cause. Something must be done to increase sex drive. When you're sick, libido suffers. Any medical problem or chronic physical condition can cause a reduction in one's sex drive. If a man is diagnosed with cancer, sex may be the furthest thing from his mind for a time. But even minor illnesses can diminish a man's sexual interest. Conversely, when men improve their health -- through exercise, a low-fat diet or, if necessary, medical treatment -- their libido is likely to increase.
  5. Wanawake hupungukiwa hamu ya kufanya mapenzi/ngono sawa na wanaume kwa kitaalam tunaita Libido( low sex drive).
  6. Nguvu za kiume ni ule uwezo wa mwili wako kama ww ni he kuweza ku maintain constant supply of blood toward penis(uume) na hii huchochewa pia na uwezo wa mwili kufanya kazi.
  7. kwa mantiki hii,ili mwanaume awe na uwezo wa kufanya mapenzi lazima awe na nguvu za kuime(priority) pili sex drive.
  8. Mwanaume anaweza fanya mapenzi/ngono akiwa na nguvu( Stamina) ila yawezekana asiwe na hamu(sex drive)
  9. SummarY( every gender suffers the consequences of libido and importence for men(erectile dysfunctional),for men its rather a physical and Psychological issues but for women its a very complicated phenomenon.
Kaka nimejadili hoja Wengine waendeleze kama kuna nyongeza ama punguzo

Umemaliza kila kitu!!
 
kwa mwanamke hamna bwana tatizo km ili
wanawake wapo on muda wote wakichikozwa ngoma inananata na bt si mpk mpepepwe km nynyi wanaume
anapotezea tu km ukimboa na vitu km ivyo!
maumbile yao yanawafanya usigundue pbm i ........so tuna assume hakuna tatizo cz ukitaka kuingia unaingia bila tatizo kinyume na kina abdala kichwa waz ata km aakitaka kuingia bt babu ajasimama dede ngoma inakuwa nzito..(accordng to dr anna)
 
Conversely, when men improve their health -- through exercise, a low-fat diet or, if necessary, medical treatment -- their libido is likely to increase.

Hii hali nimeithibitisha mwenyewe.........kwa mwanaumme chunga uzito na majambos yako yatakuwa swafii kabisa hata wakina dada hilo wanalijua..............
 
Mdau,kwanza pole kwa hilo linalokutatiza pengine kuan kitu kimetokea lada kikakumbusha juu ya swala hili.
Kwa uelewa wangu swali lako nitaliweka hivi:

  1. Mwanaume ana maumbile tofauti na mwanamke hususani tukiongelea sehemu za uzazi."Among men, it's usually just a physical process problem. With women, on the other hand, the process is much more complicated, ranging from hormonal changes to depression and stress and anxiety and medications
  2. Mwanaume huhitaji msukumo wa damu kumwezesha kujaza kizazi chacke damu na kuonekana kwa kawaida kuwa amesimamisha
  3. Mwanamke haitaji msukumo wa damu mkubwa kwa ajili ya kuwa tayari kufanya mapenzi/ngono
  4. Tofauti kuu mbili zinazosababisha kufanya mapenzi/ngono: Hamu ya kufanya mapenzi na Nguvu za kufanya mapenzi( kwa lugha halisi na rahisi ni desire and ability).Impotence and loss of libido are two very separate things,When libido drops and impotence is not a problem, there are numerous factors a doctor might suspect as the cause. Something must be done to increase sex drive. When you're sick, libido suffers. Any medical problem or chronic physical condition can cause a reduction in one's sex drive. If a man is diagnosed with cancer, sex may be the furthest thing from his mind for a time. But even minor illnesses can diminish a man's sexual interest. Conversely, when men improve their health -- through exercise, a low-fat diet or, if necessary, medical treatment -- their libido is likely to increase.
  5. Wanawake hupungukiwa hamu ya kufanya mapenzi/ngono sawa na wanaume kwa kitaalam tunaita Libido( low sex drive).
  6. Nguvu za kiume ni ule uwezo wa mwili wako kama ww ni he kuweza ku maintain constant supply of blood toward penis(uume) na hii huchochewa pia na uwezo wa mwili kufanya kazi.
  7. kwa mantiki hii,ili mwanaume awe na uwezo wa kufanya mapenzi lazima awe na nguvu za kuime(priority) pili sex drive.
  8. Mwanaume anaweza fanya mapenzi/ngono akiwa na nguvu( Stamina) ila yawezekana asiwe na hamu(sex drive)
  9. SummarY( every gender suffers the consequences of libido and importence for men(erectile dysfunctional),for men its rather a physical and Psychological issues but for women its a very complicated phenomenon.
Kaka nimejadili hoja Wengine waendeleze kama kuna nyongeza ama punguzo
mkuu umejibu vyema, lakini nadhani lazima tutambue kwamba mwanaume pia anahitaji msukumo mkubwa wa damu ambao husaidia kuweka ile dudu erect, na pia kuna hormonal changes plus lots of adrenaline na many neuroklogical changes, kuiweka kurahisi kama ulivyoiweka haileti picha halisi...
 
kwa mwanaume akiwa bonge ndo tatizo cz ata ile mambo inanywea afu nguvu thabiti ya mbilinge inapungua
mmh apaana eti jitu iloooooooooo tumbo kuleeeeee akitoka kwenye gari akiingia ofcn akitoka bar akimaliza hm no mazoez no wat wat do thk then?nguivu atapata wap
bt kwa mwanamke poa tu ata km akiwa boooooooooonge katika ile ngoma atamudu tu cz anayeshka msukan si yeye.......ingawa atasaidia kupiga honi za apa na pale!!!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom