Nguvu za giza zimevunja ndoa ya jirani yangu

Kuna mambo yanasikitisha sana, hakuna nguvu ya giza hapo, bali ushawishi wa ngono...

Cc: mahondaw
ikikutokea ndio utajua kama nguvu zipo......jamaa analia kama mtoto kuomba aliyemchukua mke wake amrudishie kwa nini asimdhuru kama inavyokuwaga?
 
Ukioa malaya ndo kinachotokea

Ni swala la mda tu...

Kuna watu watasema kama umridhishi mwanamke Je?mi nitawaambia kama mumewe akiumwa miaka 2 na wewe hujapata penzi??je utagongwa nje sababu hupati penzi kwa mumeo??????

Narudia tena malaya ni malaya...
 
Je kama mke ni mgonjwa miaka 2 Mme anaweza kuvulimilia ? Au mkuki kwa nguruwe?
 
Hatushindanishi jinsia

Nimeuliza swali pole km limekuchoma but huu ndo ukweli

Ukioa malaya lazima atalalwa nje tu waache vijana wapokee hilo wasige ua mtu kisa mapenzi...

Km mwanamke analala na mwanaume mwingine kwenye kitanda anacholala na mumewe,wewe utamtetea mwenzako lakini ukweli ni kwamba ameoa kahaba fullstop.

Kwahiyo dada kama uwaga unalala na mwanaume mwingine kwnye kitanda cha mumewe kisa akuridhishi utanisamehe ila unafanya hivyo sababu wewe ni malaya...
 
Jibu nilotaka kukupa nimeamua kulifuta basi ngoja niishie hapa
 
Duuu ukitaka watu wasome mpaka mwisho wa stori
Anza na kichwa cha habari kinachoshawishi ..maana nimecheka peke yangu chumbani maana kichwa cha habari tofauti ma ulichoelezea kwenye stori
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom