Nguvu za Giza, Viongozi wa EU washuhudia!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Hii ni ilikuwa ni ufunguzi wa handaki (tunnel) refu kuliko yote Duniani nchini Uswisi linalojulikana kama Gotthard base tunnel lenye jurefu wa km 57 linalopita kwenye milima ya Alps huko nchini Uswisi, handaki hili lilichukuwa miaka 17 mpaka kukamilika kwake!

Pamoja na hii teknolojia ya hali ya juu na ya kipekee ya ujenzi wa handaki hili kilichoshangaza labda Ulimwengu kuliko vyote ni siku Ufunguzi wa handaki hili ambapo kulihudhuriwa na wanasiasa na wakuu wa nchi za EU kama Ufaransa Raisi Holland, Ujerumani chancelor Merkel, Italia Waziri Mkuu Renzi ilikuwa ni matambiko ya kishirikina na kishetani yaliyofanywa na Wazungu hao (illuminati) ,

Karibu ujionee mwenyewe, naweka video clip na kwa watakaoshindwa kuona video naweka picha, muone illuminanti au watu waaminio shetani ambao ni viongozi wakubwa wa Dunia hii akiwemo Obama, Bill Gates USA, Merkel Ujerumani, Holland, Ufaransa na hawa wana nia ya kuunganisha Dunia yote na kuunda "One World Government,, ambayo itaongozwa na imani za kishetani na sasa hivi wameamua kupambana na ukristo (anti christ) kwani wanajua hiyo ndiyo nguzo ya mwisho, imetabiliwa hata kwenye Biblia!

1.Yohana 2:18
Ufunguzi wa Gotthard Tunnel, Matambiko ya kishetani yalishuhudiwa na raisi wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na wengineo

0,,19287088_303,00.jpg

Milima ya Alps ambyo chini yake imepita hiyo reli ya treni!

34D0B1C100000578-3619344-image-m-2_1464769742523.jpg

_89855881_033237603-1.jpg

maxresdefault.jpg

ghottard3.png

ghottard4.png

ghottard8.jpg

_89855120_81e9beca-a603-4ced-9e42-eaf0aebae251.jpg

_89856161_89856160.jpg

34D1B7A700000578-3620446-image-a-18_1464807546022.jpg

gotthard-rail-tunnel-opening.jpg

synagogue-of-satan-2.jpg

,,Say no to African electronic passport"!
 
,,Say no to African electronic passport"!​

KILA MTU NA MACHO NA AKILI YAKE. NINACHOKIONA MIMI HAPO NI MUKHTASARI WA MAENDELEO YA ULAYA KUTOKA USHURIKINA NA IMANI ZA GIZA KWENDA KWENYE MPAMBAZUKO MPYA WA SAYANSI NA TECHNOLOJIA!
 
Habari zako na Lizaboni hatutaziamini tena.UVCCM kweli sasa ni wazi kunamakundi yasiyomtaka magu kuwa Mwenyekiti na Lizaboni ndiye kakabidhiwa mikoba hili kuwapotosha ccm.

swissme
 
Sioni nguvu za giza au uchawi wowote hapo, Bali ni tamaduni na mandeleo ya sayansi na teknologia yaliyokubuhu. Kudos Ulaya, nasi siku moja tutafika huko, Inshaallahh
 
Kwa hiyo wewe unawajuwa Wazungu kuliko Wazungu wenyewe wanavyojijua? Wao wenyewe wamesema hivyo kwamba ni imani za Kishetani (satanic rituals) wewe umeshiba Maharage yako ya Mbeya unapinga!
 
Kuna baadhi ya watu hawataki kuamini uwepo Wa haya mambo, lakn lazima utambue shetani yupo na anatawala. Na ana mawakala wake hapa dunian

Wakati fulani ibilisi aitwae shetani alimfata Yesu
Luka 4:2-

(3)lbilisi akamwambia, ukiwa ndiwe mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate. (4) Yesu akamjibu, lmeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu. ...
.. hapo nimejaribu kufupisha namna ambavyo ibilisi anavyotafuta mawakala, na kuwapa utawala Wa juu ktk ulimwengu huu
 
hilo swala la uchawi tuliweke pembeni kwasababu kwa kizazi hiki halina nafasi tena ila zaidi ya hapo ni kudanganyana.
 
Kuna baadhi ya watu hawataki kuamini uwepo Wa haya mambo, lakn lazima utambue shetani yupo na anatawala. Na ana mawakala wake hapa dunian

Wakati fulani ibilisi aitwae shetani alimfata Yesu
Luka 4:2-

(3)lbilisi akamwambia, ukiwa ndiwe mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate. (4) Yesu akamjibu, lmeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu. ...
.. hapo nimejaribu kufupisha namna ambavyo ibilisi anavyotafuta mawakala, na kuwapa utawala Wa juu ktk ulimwengu huu
"Lakn lazima utambue shetani yupo na anatawala"
mkuu sio lazima mtu kutambua kitu bali kuelewa kitu.
kama shetani anatawala unafikiri nani wa kulaumiwa
aliemwachia atawale ama shetani mwenyewe anaetawala..?
 
wakuangaika na hayo mambo ni wale wamtumainie yule aliefufuka.
lkn mm i see i'm just an organism after death nothing more.
mweka mada unaweza kunihakikishiaje kwamba nguvu hiyo ni ya giza..?

Namshukuru Mungu angalau roho yako inashuhudia ya kwamba alifufuka, ni achievement ya kwanza
 
Hawa ulaya kabla injili ya ukristo haijawafuata walikuwa mapagani wakiishi na ibada za kipagani.
Kuna mtaliano aliniambia ECB ndiyo freemason mkubwa kuliko wote.
anazidi kuleta umaskini kwa wengi na utajiri kwa wachache
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom