Nguvu ya umma yafa kifo cha mende; BAVICHA wasarenda

Ndio maana ukashauri baraza hilo lifutwe?Unajua msingi wa uwepo wa mabaraza haya ya vijana?Kila hoja huja kwa wakati,sasa kuna kansa ya udikteta ambayo ikiachwa inaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa!
Najua lakini kama lina hasara nyingi kuliko faida lanini??
 
Hiv kweli wanajamvi bavicha hoja yao itakuwa ni demokirasia mpaka pale magufuli atakapomaliza muda wake??

Kwa sababu kila kukicha awaji na hoja mpya kukemea ufisadi??

Hoja za kuitetea jamii hakuna??

Mfano tuliona swala la VAT lilivyo leta mshike mshike hakuna matamko yaliyoletwa hapa kuweza kutafuta suluhu ya kuiondoa hiyo VAT??

Kila siku kupanga mambo yasiyo na masilai Kwa taifa ???

Hivi mwananchi anayeishi mtama ,kondoa,ngala,bujola lunzewe hayo matamko yanamsadia nini??
Lazima tuwa wakweli !!!

Hivi kukalia hoja moja kuandaa press conference kwa pesa za uma tunazowapa kupitia Luzuku mkaja kuongelea swala moja tu la democrasia hivi hao wananchi mnawasaidia nini ??

Kila siku matamko matamko yasiyo na faida kwa taifa yanini??

Lazima Kama nchi tufike sehemu tukubali kwamba uchaguzi umepita tuongelee mambo yenye faida kwa watanzania wote!!!

Kuna kipindi wanafunzi wa chou kikuu walicheleweshwa kupewa pesa lakini sikuwaona bavicha wakija kuwatetea!!!

Kwanini liwe swala moja tu la democrasia??

Hivi kweli bado mna mawazo kwamba Africa inaweza kukombolewa kwa democrasia tu ??

Wananchi watapata maji kwa njia ya democrasia???

Wamama watapata vitanda hospitali kwa njia ya democrasia??

Barabara zitajengwa na democrasia?

Kiukweli bavicha mumepotea sana hakuna haja ya kupewa posho!!!
Mkumbuke posho mnazopewa ni pesa za umma kama hamleti hoja za kuisaidia nchi afadhari mjiuzuru!!

Tokeni mkemee ufisadi!!
Tokeni mtetee watu wapate maji na umeme vijijini
Tokeni mtetee masilai ya wafugaji na wakulima
Tokeni mtetee wanyonge kupitia maswala ya VAT
Tokeni mtuonyeshe vyanzo vipya vya mapato kuliko hivi vinavyowakamua wanyonge
Tokeni mtetee wanafunzi wapate mikopo vyuo vikuu kwa wakati!!
Tokeni na kuamasisha upatikanaji wa madawati kwa 100%
Mbona hatuwaoni tena ???.

Kwanini amjitofautishi na Uvccm?? Mnatakiwa kujitofautiaha na Uvccm!!

Mimi sipendi unafiki lakini matamko yenu yote ambayo mumeyatoa hayatekelezeki!!

Na hamuwaezi kila siku mnatoa matamko ambaye hayana afya kwa taifa taifa likawasikiliza!!!
Bavicha mmepoteza dila Uo ndo ukweli!!!

Hawa BAVICHA Na wazee wao CDM wameishiwa Pumzi.. Kama Ni mgonjwa basi yuko ICU anapumulia machine na kutamka mambo ambayo hayaeleweki akisubiri kukata Roho . Kilichobaki Ni kuwaweka katika maombi Mola awanusuru na Jehanam.
 
Zipo kazi bavicha
Kazi za serikal na kazi za bunge..

Bavicha wapo zaid kipolitical lazma wapiganie demokrasia kwanza

Democracy ndo itaweza kuleta hayo yote unayotaka wazungumzie
 
Hawa BAVICHA Na wazee wao CDM wameishiwa Pumzi.. Kama Ni mgonjwa basi yuko ICU anapumulia machine na kutamka mambo ambayo hayaeleweki akisubiri kukata Roho . Kilichobaki Ni kuwaweka katika maombi Mola awanusuru na Jehanam.

Mkuu asante kuliona hilo!!!
 
Ndugu yangu kuna mambo umeongea yenye msingi ila mengine inakuwa kama unaongozwa na chuki fulani, tuyaache hayo tujikite kwenye mada. Hao bavicha wakiwazungumzia wanafunzi kuhusu mikopo ndio watawaingiza matatizoni kwani watawala watasema wanafunzi wanatumika kisiasa. Wakizungumzia umeme wataambiwa hilo sio jambo la kisiasa. Hiyo ndio aina ya siasa za nchi yetu ni za hovyo japo unazungumza kama ni mgeni katika nchi hii, ndio maana nakuambia uko kama una chuki binafsi kwenye ushauri wako kwa bavicha/cdm.
BAVICHA NDIO NN?
 
Hiv kweli wanajamvi bavicha hoja yao itakuwa ni demokirasia mpaka pale magufuli atakapomaliza muda wake??

Kwa sababu kila kukicha awaji na hoja mpya kukemea ufisadi??

Hoja za kuitetea jamii hakuna??

Mfano tuliona swala la VAT lilivyo leta mshike mshike hakuna matamko yaliyoletwa hapa kuweza kutafuta suluhu ya kuiondoa hiyo VAT??

Kila siku kupanga mambo yasiyo na masilai Kwa taifa ???

Hivi mwananchi anayeishi mtama ,kondoa,ngala,bujola lunzewe hayo matamko yanamsadia nini??
Lazima tuwa wakweli !!!

Hivi kukalia hoja moja kuandaa press conference kwa pesa za uma tunazowapa kupitia Luzuku mkaja kuongelea swala moja tu la democrasia hivi hao wananchi mnawasaidia nini ??

Kila siku matamko matamko yasiyo na faida kwa taifa yanini??

Lazima Kama nchi tufike sehemu tukubali kwamba uchaguzi umepita tuongelee mambo yenye faida kwa watanzania wote!!!

Kuna kipindi wanafunzi wa chou kikuu walicheleweshwa kupewa pesa lakini sikuwaona bavicha wakija kuwatetea!!!

Kwanini liwe swala moja tu la democrasia??

Hivi kweli bado mna mawazo kwamba Africa inaweza kukombolewa kwa democrasia tu ??

Wananchi watapata maji kwa njia ya democrasia???

Wamama watapata vitanda hospitali kwa njia ya democrasia??

Barabara zitajengwa na democrasia?

Kiukweli bavicha mumepotea sana hakuna haja ya kupewa posho!!!
Mkumbuke posho mnazopewa ni pesa za umma kama hamleti hoja za kuisaidia nchi afadhari mjiuzuru!!

Tokeni mkemee ufisadi!!
Tokeni mtetee watu wapate maji na umeme vijijini
Tokeni mtetee masilai ya wafugaji na wakulima
Tokeni mtetee wanyonge kupitia maswala ya VAT
Tokeni mtuonyeshe vyanzo vipya vya mapato kuliko hivi vinavyowakamua wanyonge
Tokeni mtetee wanafunzi wapate mikopo vyuo vikuu kwa wakati!!
Tokeni na kuamasisha upatikanaji wa madawati kwa 100%
Mbona hatuwaoni tena ???.

Kwanini amjitofautishi na Uvccm?? Mnatakiwa kujitofautiaha na Uvccm!!

Mimi sipendi unafiki lakini matamko yenu yote ambayo mumeyatoa hayatekelezeki!!

Na hamuwaezi kila siku mnatoa matamko ambaye hayana afya kwa taifa taifa likawasikiliza!!!
Bavicha mmepoteza dila Uo ndo ukweli!!!
Hivi hayo yote ulioyaeleza yanatekelezwa na UVCCM?, hivi mbona hujapendekeza na hicho nacho kifutwe. Kiongozo wake anasifika kwa mipasho na matusi na mpaka wakati tnajiuliza kuwa hata elimu ya Mdrasa ya kujenga Imani anayo huyu? CHUKI ZA HOVYO HAZINA FAIDA
 
Back
Top Bottom