Nguvu ya umma yafa kifo cha mende; BAVICHA wasarenda

Anza kwanza na CCM walioshindwa kutetea wananchi. Yani nchi iongozwe na chama kingine na lawama uwatupie chama kingine? Shule ulienda kusomea ujinga.
Mimi sipo hapa kuongelea ccm nimesema juu ya bavicha na sasa ccm inaingiaje hapo ukakasi wa bavicha kukemea ufisadi unatoka wapi???
 
Unaona demokrasia ni jambo dogo lakini hujuwi kukosekana kwake kunaweza leta athari gani!Bavicha wanafanya kazi nzuri kuhakikisha kuwa udikteta hauoti mizizi na kumea,hata mbuyu ulianza kama mchicha!Nkurunzinza alianza kidogo kidogo wakamchukulia poa,alivyoona watu hawashtuki akanogewa!Akaamua kujiongezea muda wa kutawala,angalia sasa watu wanavyouwawa Burundi!
Popote kwenye viashiria vya udiktete ni lazima vikemewe kwa nguvu zote,hongera Bavicha!
 
Mkuu mi siogopi kutukanwa nilisema nitasema ukweli daima!!!

Ndugu yangu kuna mambo umeongea yenye msingi ila mengine inakuwa kama unaongozwa na chuki fulani, tuyaache hayo tujikite kwenye mada. Hao bavicha wakiwazungumzia wanafunzi kuhusu mikopo ndio watawaingiza matatizoni kwani watawala watasema wanafunzi wanatumika kisiasa. Wakizungumzia umeme wataambiwa hilo sio jambo la kisiasa. Hiyo ndio aina ya siasa za nchi yetu ni za hovyo japo unazungumza kama ni mgeni katika nchi hii, ndio maana nakuambia uko kama una chuki binafsi kwenye ushauri wako kwa bavicha/cdm.
 
Unaona demokrasia ni jambo dogo lakini hujuwi kukosekana kwake kunaweza leta athari gani!Bavicha wanafanya kazi nzuri kuhakikisha kuwa udikteta hauoti mizizi na kumea,hata mbuyu ulianza kama mchicha!Nkurunzinza alianza kidogo kidogo wakamchukulia poa,alivyoona watu hawashtuki akanogewa!Akaamua kujiongezea muda wa kutawala,angalia sasa watu wanavyouwawa Burundi!
Popote kwenye viashiria vya udiktete ni lazima vikemewe kwa nguvu zote,hongera Bavicha!
Nisawa lakini hakuna mambo wengine ya kuongelea???
 
Ndugu yangu kuna mambo umeongea yenye msingi ila mengine inakuwa kama unaongozwa na chuki fulani, tuyaache hayo tujikite kwenye mada. Hao bavicha wakiwazungumzia wanafunzi kuhusu mikopo ndio watawaingiza matatizoni kwani watawala watasema wanafunzi wanatumika kisiasa. Wakizungumzia umeme wataambiwa hilo sio jambo la kisiasa. Hiyo ndio aina ya siasa za nchi yetu ni za hovyo japo unazungumza kama ni mgeni katika nchi hii, ndio maana nakuambia uko kama una chuki binafsi kwenye ushauri wako kwa bavicha/cdm.
Waongee kwanza arafu tuone kama watajibiwa hivyo??
 
Unaona demokrasia ni Jambo Dogo muulize rais Wa uturuki alivyotaka kupinduliwa na jeshi aliomba wananchi wake wakadai demokrasia waandamane kulingana Na jeshi huo unafiki wako Wa buku Saba endelea nao
 
Hiv kweli wanajamvi bavicha hoja yao itakuwa ni demokirasia mpaka pale magufuli atakapomaliza muda wake??

Kwa sababu kila kukicha awaji na hoja mpya kukemea ufisadi??

Hoja za kuitetea jamii hakuna??

Mfano tuliona swala la VAT lilivyo leta mshike mshike hakuna matamko yaliyoletwa hapa kuweza kutafuta suluhu ya kuiondoa hiyo VAT??

Kila siku kupanga mambo yasiyo na masilai Kwa taifa ???

Hivi mwananchi anayeishi mtama ,kondoa,ngala,bujola lunzewe hayo matamko yanamsadia nini??
Lazima tuwa wakweli !!!

Hivi kukalia hoja moja kuandaa press conference kwa pesa za uma tunazowapa kupitia Luzuku mkaja kuongelea swala moja tu la democrasia hivi hao wananchi mnawasaidia nini ??

Kila siku matamko matamko yasiyo na faida kwa taifa yanini??

Lazima Kama nchi tufike sehemu tukubali kwamba uchaguzi umepita tuongelee mambo yenye faida kwa watanzania wote!!!

Kuna kipindi wanafunzi wa chou kikuu walicheleweshwa kupewa pesa lakini sikuwaona bavicha wakija kuwatetea!!!

Kwanini liwe swala moja tu la democrasia??

Hivi kweli bado mna mawazo kwamba Africa inaweza kukombolewa kwa democrasia tu ??

Wananchi watapata maji kwa njia ya democrasia???

Wamama watapata vitanda hospitali kwa njia ya democrasia??

Barabara zitajengwa na democrasia?

Kiukweli bavicha mumepotea sana hakuna haja ya kupewa posho!!!
Mkumbuke posho mnazopewa ni pesa za umma kama hamleti hoja za kuisaidia nchi afadhari mjiuzuru!!

Tokeni mkemee ufisadi!!
Tokeni mtetee watu wapate maji na umeme vijijini
Tokeni mtetee masilai ya wafugaji na wakulima
Tokeni mtetee wanyonge kupitia maswala ya VAT
Tokeni mtuonyeshe vyanzo vipya vya mapato kuliko hivi vinavyowakamua wanyonge
Tokeni mtetee wanafunzi wapate mikopo vyuo vikuu kwa wakati!!
Tokeni na kuamasisha upatikanaji wa madawati kwa 100%
Mbona hatuwaoni tena ???.

Kwanini amjitofautishi na Uvccm?? Mnatakiwa kujitofautiaha na Uvccm!!

Mimi sipendi unafiki lakini matamko yenu yote ambayo mumeyatoa hayatekelezeki!!

Na hamuwaezi kila siku mnatoa matamko ambaye hayana afya kwa taifa taifa likawasikiliza!!!
Bavicha mmepoteza dila Uo ndo ukweli!!!
Kiswahili kinakusumbua sana ila hayo uliyoandika siyo kazi ya Bavicha. Ongea na JPM.
 
Hiyo ni propaganda ya kktoto kabisa.........

Hivi at the first place ni umoja upi wa vijana ungepaswa kufuta kati ya Bavicha na UVCCM?

Hebu tufanye comparison ya matukio 2 yaliyofanywa na UVCCM na Bavicha, halafu tuwe fair nn kuona ni umoja upi wa vijana haustahili kabisa kuendelea kuwepo kwenye ulingo wa siasa hapa TZ.

UVCCM wakati wa sherehe za Mapinduzi mwaka huu kule Zanzibar waliopita na mabango yao ya kibaguzi yaliyosomeka CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI NCHI YA WAAFRIKA na wakapita na mabango hayo ya kutisha ambayo yanaweza hata kulisambaratisha Taifa letu, mbele ya viongozi wa kitaifa wa CCM.

Tulinganishe na hili linalofanywa na Bavicha la kupinga kwa nguvu zote kauli ya Mkuu wa nchi kupiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za vyama vya upinzani zisifanyike nchini hadi mwaka 2020, wakati Mkuu huyo akiruhusu shughuli za kisiasa ziendelee kufanywa na CCM pekee!

Tamko hilo ni uvunjaji wa wazi wa Katiba ya nchi yetu Ibara ya 3, ambayo inabainisha wazi kuwa nchi yetu itaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi.

Kwa tamko hilo peke yake alilolitoa Rais la kuvunja waziwazi Katiba ya nchi yetu, ingekuwa kwenye nchi nyingine zinazofuata utawala wa kisheria wa kikwelikweli Rais wetu angekuwa tayari ameshajiuzuru,kwa kuwa nchi yoyote duniani inaendeshwa kwa Katiba ya nchi, kwa hiyo kama ambavyo aliwahi kusema Mwalimu Nyerere kuwa Rais wa nchi anapaswa kuwa mtu wa kwanza kuitii Katiba ya nchi, akaendelea kusisitiza kuwa itakapotokea Rais wa nchi anaisigina Katiba ya nchi, Mwalimu Nyerere alitamka wazi kuwa Rais wa aina hiyo hatufai..............

Kwa hiyo mleta post kama ungekuwa fair kabisa bila kuleta ukereketwa wa Chama Cha Majipu, ungependekeza UVCCM ifutwe badala ya Bavicha ambao wako sahihi kabisa kuililia demokrasia yetu ambayo kama Jenerali Ulimwengu alivyosema tumerudi nyuma miaka 50!.......
 
Nisawa lakini hakuna mambo wengine ya kuongelea???
Mimi nadhani wewe ndio tatizo hapa,kila jambo huongelewa kulingana na wakati!Juzi tu walitoka wakalizungumzia suala la wanafunzi Dodoma!Walau hata hawa tunawaona kutetea wananchi!
 
Hiyo ni propaganda ya kktoto kabisa.........

Hivi at the first place ni umoja upi wa vijana ungepaswa kufuta kati ya Bavicha na UVCCM?

Hebu tufanye comparison ya matukio 2 yaliyofanywa na UVCCM na Bavicha, halafu tuwe fair nn kuona ni umoja upi wa vijana haustahili kabisa kuendelea kuwepo kwenye ulingo wa siasa hapa TZ.

UVCCM wakati wa sherehe za Mapinduzi mwaka huu kule Zanzibar waliopita na mabango yao ya kibaguzi yaliyosomeka CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI NCHI YA WAAFRIKA na wakapita na mabango hayo ya kutisha ambayo yanaweza hata kulisambaratisha Taifa letu, mbele ya viongozi wa kitaifa wa CCM.

Tulinganishe na hili linalofanywa na Bavicha la kupinga kwa nguvu zote kauli ya Mkuu wa nchi kupiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za vyama vya upinzani zisifanyike nchini hadi mwaka 2020, wakati Mkuu huyo akiruhusu shughuli za kisiasa ziendelee kufanywa na CCM pekee!

Tamko hilo ni uvunjaji wa wazi wa Katiba ya nchi yetu Ibara ya 3, ambayo inabainisha wazi kuwa nchi yetu itaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi.

Kwa tamko hilo peke yake alilolitoa Rais la kuvunja waziwazi Katiba ya nchi yetu, ingekuwa kwenye nchi nyingine zinazofuata utawala wa kisheria wa kikwelikweli Rais wetu angekuwa tayari ameshajiuzuru......

Kwa hiyo mleta post kama ungekuwa fair kabisa bila kuleta ukereketwa wa Chama Cha Majipu, ungependekeza UVCCM ifutwe badala ya Bavicha ambao wako sahihi kabisa kuililia demokrasia yetu ambayo kama Jenerali Ulimwengu alivyosema tumerudi nyuma miaka 50!.......
Sijakataa kwamba wako sahii kwenye democrasia bila swali langu ni je hakuna zaidi ya hapo??
Swala moja kila siku utekelezaji 0
 
Mimi nadhani wewe ndio tatizo hapa,kila jambo huongelewa kulingana na wakati!Juzi tu walitoka wakalizungumzia suala la wanafunzi Dodoma!Walau hata hawa tunawaona kutetea wananchi!
Wanatetea wananchi au wanatetea chadema!!!!
 
Sijakataa kwamba wako sahii kwenye democrasia bila swali langu ni je hakuna zaidi ya hapo??
Swala moja kila siku utekelezaji 0
Ndio maana ukashauri baraza hilo lifutwe?Unajua msingi wa uwepo wa mabaraza haya ya vijana?Kila hoja huja kwa wakati,sasa kuna kansa ya udikteta ambayo ikiachwa inaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa!
 
Back
Top Bottom