nguvu ya umma ya chadema ni kuleta machafuko

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malaria.
 
Kabla hujaleta hekima zako za alinacha; kwanza tafuta knowledge ndiyo uandike; siyo kila kitu unachofikiri wewe ni sahihi; constitution ya Uingereza kuhusu uchaguzi na matokeo ya kura na kuunda serikali lazima uwe na majority; ili kufikisha majority Conservatives simulteneously na Labour ilibidi waongee na Liberals waungane ili wapate majority inayotakiwa kuunda serikali. This happens as per their constitution; which also applies to Australia, Canada, etc many other countries.
You may be a young educated man; but you need more knowledge and information than engaging in writing crap.

Another issue; please let us be be frank with everything happening in our country; what makes you think Chadema are not able to be proper political party? What I have seen they managed to atract wise learned people and all people of high understanding. Simply CCM acted as thugs to cheat the only people they want to rule!

Mr. Zhu; better go in staying in China; because that is the place which fits you!
 
..........................B/S
 
Wanasiasa wasituchanganye, wanapoelezea suala la CHADEMA wanasema WANANCHI/UMMA lakini je wangapi ni wanachama na supporter wa Chama hicho, wangapi walikipigia kura has a ukizingatia idadi ya wananchi waliopiga kura?, hao waliokipigia kura Chama hicho au CCM ni sehemu gain ya UMMA wa watanzania?. Je ni sahihi kwa chadema kudai wananguvu ya UMMA?. The TRUTH is statement za namna hiyo hutumiwa na wanasiasa ku-justify mambo binafsi wanayofanya. Wananchi tusidanganyike na political slogans za wanasiasa.
 
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malaria.

Hukumwelewa Mhe. Mbowe na nahisi wewe hujagusa hata elimu ya msingi. Kama uligusa basi wewe ni mfuasi wa chama fulani kilichobobea katika utaalam wa kuchakachua mambo.

Alichosema Mhe. Mbowe ni kwamba NGUVU YA UMMA itatumika KUDAI HAKI tu. Hii ina maana kuwa haki ikitendeka hakutakuwa na nguvu ya umma.
 
Wewe huna unalolijua! Waswahili husema ukiona punda anarusha mateke basi ujue kuna kitu nyuma yake. Siasa za uengereza huwezi kufananisha za Tanzania. Wanaohatarisha usalama ni nyie CCM pamoja na mipango yenu ya giza!
 
Ni kweli huwezi kufananisha siasa za uingereza na tanzania ila tunachosema ni busara za viongozi wa siasa. Kwa sasa suala la kuaminisha wananchi kuwa kura ziliibiwa bila kutoa evedence ni mapungufu. Hivyo ukitumia umma kushawishi au kuwaaminisha wananchi hasa vijana bila kutoa ushahidi ni dalili tosha kabisa kuwa hizo ni fujo. Kwanza chadema wanajitangazia nguvu ya umma wakati hata wabunge 30 wa kuchaguliwa hawajafika. Hiyo ni kuaandaa vijana hasa wa mjini kuleta fujo kwa mambo ambayo yanaaminishwa na viongozi wanaotaka umaarufu kwa kudanganya kuwa wana nguvu ya umma.
 
Cha kujiuliza CHADEMA wanataka kutumia UMMA kudai nini? Nijuavyo mimi madahi ya CHADEMA ni
KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI, MABADILIKO YA SHERIA ZA UCHAGUZI ILI CHAGUZI ZIWE HURU NA HAKI,nk

JE wana CCM, CUF, TADEA, JAHAZI ASILI, TLP, NCCR, NLD nk Hawataki mahitaji hayo muhimu? Kumbuka watanzania wengi si wanachama wa vyama vya siasa kuliko walio wanachama, je Watanzania hao hawataki katiba mpya,tume huru ya Uchaguzi, mabadiliko ya sheria za uchaguzi?
Hao ndio UMMA wenyewe, UMMA sio asilimia 42% waliopiga kura bali ni 100% ya waliojiandikisha na watanzania wasio jiandikisha.

Zhu umewahi kujiuliza kwanini 67% ya waliojiandikisha hawakupiga kura? kumbuka kama walijiandikisha kupiga kura walikuwa n alengo la kupiga kura je ni kwanini hawakupiga kura? Hiv umepata kusikia kuwa wanasiasa wetu uchwara ni mabingwa wa kununua shahada za kupigia kura na wapambe wao wengi hukamatwa wakiwa ktk zoezi la ununuzi wa shahada, je umewahi kusikia hukumu za wanunuzi hao zikitolewa mahakamani? je sheria ya uchaguzi inayotumika sasa ambayo ni ya mwaka 1985 imebainisha kosa la ununuzi wa shahada na adhabu yake?
wewe mwenyewe Zhu ni sehemu ya umma, hivyo kama utaguswa na matatizo ya nchi yako na kuamua kuwa sehemu ya mabadiliko utaungana na CHADEMA na ukijumuisha na wengine wanaoamini ktk mabadiliko kwa pamoja ndio mtatengeneza UMMA ambao CHADEMA wanasema watautumia.

HR na FM ktk mdahalo wa jana wamebainisha kuwa kilio cha KATIBA mpya ni cha tokea 1992 na wapinzani wote wanakiunga mkono, kumbuka MAKAMBA amesabainisha kuwa CCM inawanachama 5 Milioni, na watanzania wote tupo zaidi ya 42milioni HAO wote tuwaache tuchukuwe watanzania waliojiandikisha kupiga kura wapo 19 milioni kwa mujibu wa NEC tukitoa wanachama wa CCM 5milioni wanabaki watanzania wavyama vya upinzani na wasio na vyama ambao walijiandikisha 14 milioni. KAMA CCM inapinga katiba mpya kumbuka ina wanachama 5m tu wa kuwa support lakini 14milioni hawapo pamoja nao. sasa hao 14 milioni NDIO UMMA WENYEWE. Ukiamua kutoa idadi ya watanzania 42milioni kwa milioni 5 wanachama wa CCM unapata 37milioni tu assume 22milioni ni watoto wa umri chini ya miaka 18 hivyo tunabaki na 15 milioni, 15 milioni ndio UMMA WENYEWE. Hivyo hapa ni suala la CHADEMA na wapenda mabadiliko na wanaharakati kuungana na kuwashawishi watanzania wengine kudai katiba na mabadiliko ya sheria ndani ya nchi yao bila nguvu wala vurugu. KUMBUKA HAKUNA SILAHA KALI YA MAHANGAMIZI KAMA NGUVU YA UMMA
 
Fujo unaypijua wewe ni ipi, ya wananchi kudai haki yao ama CCM kuiba kura kwa nguvu?

Umetumwa na wachakachuaji siyo? Kama sivyo hujui usemalo!

Kabla hujaleta hekima zako za alinacha; kwanza tafuta knowledge ndiyo uandike; siyo kila kitu unachofikiri wewe ni sahihi; constitution ya Uingereza kuhusu uchaguzi na matokeo ya kura na kuunda serikali lazima uwe na majority; ili kufikisha majority Conservatives simulteneously na Labour ilibidi waongee na Liberals waungane ili wapate majority inayotakiwa kuunda serikali. This happens as per their constitution; which also applies to Australia, Canada, etc many other countries.
You may be a young educated man; but you need more knowledge and information than engaging in writing crap.

Another issue; please let us be be frank with everything happening in our country; what makes you think Chadema are not able to be proper political party? What I have seen they managed to atract wise learned people and all people of high understanding. Simply CCM acted as thugs to cheat the only people they want to rule!

Mr. Zhu; better go in staying in China; because that is the place which fits you!

Hukumwelewa Mhe. Mbowe na nahisi wewe hujagusa hata elimu ya msingi. Kama uligusa basi wewe ni mfuasi wa chama fulani kilichobobea katika utaalam wa kuchakachua mambo.

Alichosema Mhe. Mbowe ni kwamba NGUVU YA UMMA itatumika KUDAI HAKI tu. Hii ina maana kuwa haki ikitendeka hakutakuwa na nguvu ya umma.

Wewe huna unalolijua! Waswahili husema ukiona punda anarusha mateke basi ujue kuna kitu nyuma yake. Siasa za uengereza huwezi kufananisha za Tanzania. Wanaohatarisha usalama ni nyie CCM pamoja na mipango yenu ya giza!

Nyie wote hapo juu mmejaa ushabiki na ushabiki huu ndio unawarudisha wengi nyuma na mtajikuta mmbeaki wenyewe, this is forums na aliyeuliza anatakiwa kujibiwa bila vijembe na hizo kauli za ajabu ajabu! hamjabjibu hoja na hivyo kweka post zenu kuwa hazina mshiko. aliyetoa hoja ametoa joha kumgeuza mtu kama huyu anahitaji hoja tu na sio vituko mnavyoviandika, wanachadema mnaboa!!!!

bila nguvu ya umma CCM hawawezi kukubali kubadili katika kwani inawanya watawale milele

supported, nguvu ya umma inaweza zaidi kuliko mazungumzo ya viongozi kwa viongozi.
 
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malaria.

mawazo yako yamekaa kifala-**** tu.

ukiwa na mawazo ya kifala-**** kama yako, bora kunyamaza.

kwa sababu wenye akili zao watajua tu kuwa unachosema ni ufala. siyo hoja.

tumekusikia.
 
Ni kweli huwezi kufananisha siasa za uingereza na tanzania ila tunachosema ni busara za viongozi wa siasa. Kwa sasa suala la kuaminisha wananchi kuwa kura ziliibiwa bila kutoa evedence ni mapungufu. Hivyo ukitumia umma kushawishi au kuwaaminisha wananchi hasa vijana bila kutoa ushahidi ni dalili tosha kabisa kuwa hizo ni fujo. Kwanza chadema wanajitangazia nguvu ya umma wakati hata wabunge 30 wa kuchaguliwa hawajafika. Hiyo ni kuaandaa vijana hasa wa mjini kuleta fujo kwa mambo ambayo yanaaminishwa na viongozi wanaotaka umaarufu kwa kudanganya kuwa wana nguvu ya umma.

Kama chadema wana uwezo wa kuandaa vijana kwa nini huamini kuhusu nguvu ya umma? CCM sasa hivi inanyimwa usingizi na mikutano ya chadema ambayo hata hivyo wameipiga marufuku hao CCM! Sasa kama CCM haitaki wananchi waelimishwe huoni wanaiogopa NGUVU YA UMMA?
 
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malaria.

He who knows not and knows not that he knows not is a fool - avoid him! He who knows and knows not that he knows is asleep - waken him! He who knows not and knows that he knows not wants a beating - beat him! But he who knows and knows that he knows is a wise man - know him.
 
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malaria.

Hata mimi nimefuatilia. Nilichosikia ni kuwa Chadema wanategemea nguvu ya wananchi kudai mabadiliko na Mbowe alisema kwa wale wanaodhani kuwa Chadema wataleta machafuko, wao kama Chadema hawana jeshi na wenye jeshi ndio wanaoweza kuleta machafuko. Chadema hawana silaha, machafuko watayaletaje? Aliongeza kusema wao wanatumia njia ya amani kudai mabadiliko.

Wanaoweza kuleta machafuko ni wanaoiba kura kwani hawataki kushindwa. Kwa hiyo, tusipotoshe mchakato wa Chadema kudai haki yao. Tungewaunga mkono lakini badala yake tunaunga mkono wanaochakachua kura hata kuwaona washindi wa kishindo na wale wanaodai wameibiwa kura tunawaona wanaleta machafuko. What nosense!
 
Mh Zhu Umaskini wetu wa uelewa utatuweka pabaya,nafikiri pia wewe unataka mabadiliko kutokana na huu ukoloni mambo leo tulio nao sasa, kumbuka kuwa uchaguzi wa mkwa 2005 CCM au thithiemu ilikuja kwa mbwewbwe kali Maisha bora kwa kila nzania na ilibuka kidedea kwa sababu ya nguvu ya wanachi au Umma,hapa nataka ujue kuwa mwanachi ana nguvu katika maamuzi au kumweka kiongozi madarakani na sio Busara za viongozi furani wa vyama kuwa ndiyo wenye maamuzi kama ulivyo sema,chama kinadai mabadilko ya Katiba iliyopo sasa imepititwa na wakati Mr Zhu wewe huoni jamani?
sisi watanzania tumeisha zoea kudanganywa lakini karne hii thithiemu hawakujua kuwa wanachi wame change wako tayari walipigie jiwe kura au mwanamuziki amma mgaga wa kienyeji kuliko kiongozi wasiye mtaka Hii ni hatari naomba hapa ujue nguvu ya wananchi kwenye maamuzi ya kuchagua kiongozi je huja ona wabunge wengi wakidondoka kwenye majimbo yao kwa sababu ya maamuzi ya wanachi?ise twende shule bwana
 
Duniani kote mabadiliko makubwa ya haki na demokrasia yameletwa kwa nguvu ya umma. Unapokataa mabadiliko yanayoletwa na nguvu ya umma, unataka yaletwe kwa nguvu ya nini? Logically, kwa vile walioweka taratibu na sheria zisizoleta usawa katika uchaguzi hawakuweka kwa bahati mbaya bali kwa makusudi maalum ya kuwanufaisha waliopo madarakani kwa gharama ya wanyimwa nafasi sawa ya demokrasia na haki. Ukitaka kuondoa taratibu na sheria dhalimu zilizowekwa na watawala ni lazima utumia nguvu zilizo nje ya mifumo ya kisheria iliyowekwa na watawala hao.

Hakuna kitu kingine chochote kinakacholeta mabadiliko katika demokrasia na haki kwa watu wote isipokuwa nguvu ya umma kwa kupitia makundi mbalimbali ya kijamii, taasisi zisizo za kiserikali, taasisi za elimu, vyama vya siasa, vyama vya kitaaluma, taasisi za elimu na wananchi wote kwa ujumla.

Mifumo gandamizi wa demokrasia na haki ndiyo nguzo kuu ya CCM wakisaidiwa na ujinga wa wananchi walio wengi, na ndiyo maana ukichunguza kwa makini waungaji mkono wakubwa wa CCM ni jamii yenye uelewa mdogo na wale ambao mfumo uliopo unawapa maslahi ya kimaisha. Kazi ya jamii iliyoelimika ni kuhakikisha wale walionyimwa elimu na utawala uliopo wanaelewa kinachopiganiwa, at the end all will rally behind changes.
 
mawazo yako yamekaa kifala-**** tu.

ukiwa na mawazo ya kifala-**** kama yako, bora kunyamaza.

kwa sababu wenye akili zao watajua tu kuwa unachosema ni ufala. siyo hoja.

tumekusikia.
Zhu(猪) kwa lugha ya wengine huku ni yule mnyama(nguruwe)ambaye HR jana kwenye mdahalo alimfananisha na wale wa chama cha mafisadi...
Kwahiyo sishangai hata kidogo kuona anakuja na hoja kama hizi.Aliguswa jana!
 
Kiwango cha juu kabisa cha Ujinga,Hakuna amani Tanzania ila kuna utulivu tu, haiwezekani tuendelee kufanywa wajinga halafu tuseme ndiyo amani wakati sisi masikini tunakandamizwa.

Tanzania ni nchi yetu sote sio familia fulani tu no way hatutakubali.

Wewe Zhu, either kiwango chako cha ulewa ni cha chini sana,au unashibishwa na wanyonji wakati ndugu zako wanakufa na njaa huku wakipewa elimu ya kiwango cha chini shule za kata.

Tuwe wazalendo,tuipende Nchi yetu na wenzetu maskini wanaoishi kwa shida,hivi huwezi hata ona watoto wanao zagaa mitaani na kulala nje?hayo simatokeo ya sera kandamizi? umeniudhi kweli aisee.please usioneshe ujinga wako hapa bwana unakera sana aa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom