Nguvu ya umma inapofanya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya umma inapofanya kazi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MzeePunch, Oct 6, 2010.

 1. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la KULIKONI hivi karibuni. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili.

  "Tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara mchakato na mustakabali mzima wa siasa na uchumi wa nchi. Tabaka hili, pamoja na kuvamia nafasi za kisiasa kama ubunge na ukamanda wa vijana, linafadhili pia nafasi za uongozi, toka urais hadi ubunge, na nafasi kuu ndani ya chama... Tabaka hili limeweza kupenyeza watu wake katika taasisi nyeti kama usalama wa taifa, Ikulu, Takukuru, mahakama na bunge. Tabaka hili limeunda na kuongoza serikali isiyo rasmi ndani ya nchi, lakini yenye nguvu kuliko serikali ya Kikwete; haliwezi kukemewa, bali linaweza kuitisha serikali; hasa pale maslahi ya watu wao yanapoguswa! Tabaka hili hatari linaipenda Tanzania (kwa raslimali zilizomo), lakini haliwapendi Watanzania; lipo tayari kudhuru na hata kuua kisiasa na kimwili, inapofikia kutetea maslahi yake. Hili haliwezi kung'olewa kwa nguvu ya serikali iliyomo madarakani, ila kwa KIPIGO CHA NGUVU YA UMMA.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280

  Walahi tena
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Now your talking

   
 4. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ndio maaana vyuo vikafungwa kwa kuwa wanavyuo ni wepesi kuanzisha uprising baada ya matokeo ya kura kuchakachuliwa.
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Indonesia wanachuo ndio huwa waniondoa serikali iliyoko madarakani kwa uprising zao hata jeshi lao liingilie kati ni mpaka kieleweke huku kwetu mmmmh mkijaribu tu hata kabla hamja ondoka kuanza uprising kipigo cha kufa mtu wanakipokea

   
 6. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tabaka la mibaka-uchumi kuna kitu linakosea kwenye suala la wanavyuo. Hata kama wakifunga vyuo kwa muda gani, historia inaonesha kuwa kufungua chuo huwa ndio kama mwanzo wa maisha mapya na fikra mpya kwa wanavyuo. Mambo yaliyopita hujadiliwa kama mapya ni ni rahisi sana kuanzisha mgomo hata kama uchaguzi-chakakachuzi utakuwa umepita.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo term nimeipenda wabaka uchumi
   
 8. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,461
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Mibaka uchumi wanafanana na Genge la Mafia
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hata enzi za nyerere wanachuo na wahadhiri wao walikuwa na impact kubwa kwa serikali, asaiv wanachuo wamechakachuliwa, ukigoma unapewa mkopo 40%.
   
Loading...