Nguvu ya umma inakalibia kujidhihirisha chuo cha Ruaha hapa Iringa

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Nikatika uchaguzi wa kumchagua raisi wa chuo cha ruaha hapa iringa kuna wagombea watatu lakini wana onyesha ushindani ni wagombea wawili huku mmjoa akiwa nikatibu wa ccm na mwingine alikuwa mwenyekiti wa tawi moja la chADEMA ZAMANI anaungwa mkono na wanachuo wengi sana hasa kwasababu mpinzani wake inasemekana ametumwa na jk walijaribu kuiba kura ikashindikana kura zilikamatwa.ffu wameongezeka ilikuzidisha uchakajuaji imeshindikana ........................mdaa huu wanatanga zamshindi na yule wa chadema ameshinda, people power inatamkwa njee baada ya matokeo kutangazwa.
 
duu naona ccm wana leta vulugu police amepigwa ngumi nakuchanika vibaya...................................watu wana zidi kushangilia ushindi huyu jamaa wa ccm alitumia hela nyingi sana inasemekana zilitoka juu.
 
Nani mwanachama wa ccm kama sio familia za mafisadi? Wapo wangapi Tanzania? Sitta alisema haya tunasumbuliwa na familia kama kumi hivi na tayari wapo shimoni na chuki imeongezeka, zaidi wameua hata muungano kwa ajili ya siasa zao mbaya.
 
Mmesikika, tumewasoma na mnakubalika siku zote wenzetu wa vyuo vikuu huko MIringa sawa na Vyuo Vikuu vikuu kule Arusha na vile vile wenzetu wa UDOM.

Jamani vita dhidi ya mfumo fisadi wa CCM unahitaji sisi vijana kuelimisha juu ya haki yetu kuunda katiba mpya na wala si jukumu la watawala nchini bila kuchoka wala kuhadaiwa na mabadiliko ya sura badala ya mfumo kwa.
 
kinachofanyika sasahivi na CHADEMA as we call it NGUVU YA UMMA ni mchezo wa kijinga ambao kila mtu anaweza ku organize na akafanikiwa KARIMJEE CHADEMA WALIKUTANA NA NGUVU YA UMMA YA WATOTO WADOGO ILIYORATIBIWA KAMA WANAVYO RATIBU WAO WAKAANZA KULALAMIKA,USIFIKIRI CCM HAWAWEZI KUTUMIA NGUVU YA UMMA ILA TU PANAWEZA KUTOKEA MACHAFUKO AMABYO WAFUASI WENGI WA CHADEMA WANAYATAKA ILI WAWAIBIE WATU MALI ZAO MTAANI ITAKAPO TOKEA VURUGU,NDIYO MAANA KULE ARUSHA MACHAFUKO YALIYOFANYIKA WATU WENGI WALIIBIWA NA KUBAKWA NA WAFUASI WA CHADEMA.(kama nimekukera leave me alone)
 
hicho kinamilikiwa na nani? gvnt au private? mambo ya uccm na ucdm chuoni!!!
 
kinachofanyika sasahivi na CHADEMA as we call it NGUVU YA UMMA ni mchezo wa kijinga ambao kila mtu anaweza ku organize na akafanikiwa KARIMJEE CHADEMA WALIKUTANA NA NGUVU YA UMMA YA WATOTO WADOGO ILIYORATIBIWA KAMA WANAVYO RATIBU WAO WAKAANZA KULALAMIKA,USIFIKIRI CCM HAWAWEZI KUTUMIA NGUVU YA UMMA ILA TU PANAWEZA KUTOKEA MACHAFUKO AMABYO WAFUASI WENGI WA CHADEMA WANAYATAKA ILI WAWAIBIE WATU MALI ZAO MTAANI ITAKAPO TOKEA VURUGU,NDIYO MAANA KULE ARUSHA MACHAFUKO YALIYOFANYIKA WATU WENGI WALIIBIWA NA KUBAKWA NA WAFUASI WA CHADEMA.(kama nimekukera leave me alone)

Wewe kweli kiazi! Nani atakaye waunga mkono nyie na kwa faida ya nani? Kama hujui kufa katazame makaburi... Ccm bye bye!
 
kinachofanyika sasahivi na CHADEMA as we call it NGUVU YA UMMA ni mchezo wa kijinga ambao kila mtu anaweza ku organize na akafanikiwa KARIMJEE CHADEMA WALIKUTANA NA NGUVU YA UMMA YA WATOTO WADOGO ILIYORATIBIWA KAMA WANAVYO RATIBU WAO WAKAANZA KULALAMIKA,USIFIKIRI CCM HAWAWEZI KUTUMIA NGUVU YA UMMA ILA TU PANAWEZA KUTOKEA MACHAFUKO AMABYO WAFUASI WENGI WA CHADEMA WANAYATAKA ILI WAWAIBIE WATU MALI ZAO MTAANI ITAKAPO TOKEA VURUGU,NDIYO MAANA KULE ARUSHA MACHAFUKO YALIYOFANYIKA WATU WENGI WALIIBIWA NA KUBAKWA NA WAFUASI WA CHADEMA.(kama nimekukera leave me alone)

Kujaza watoto KARIMJEE tena wa manzese ili wazibe nafasi za wenye akili kutoa inputs zao muhimu zenye mchango kwa Taifa na kwa vizazi vijavyo ndo nguvu ya umma. Tena mliwaleta na malori, hapo ni jinsi gani mnaonyesha kua hamlitakii mema Taifa letu hili la Tanzania. Mapambano yanaendelea hadi kufikia 2015 lazima kieleweke. Shame on you CCM hamlitakii mambo mema Taifa letu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom