Nguvu ya umma imeshinda

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Polisi wameruhusu watu waingie uwanjani Gari la matangazo limeshawashwa uploadfromtaptalk1371557111495.jpg
 
wanazidi kujidhoofisha bila kujua, ndani ya ccm wenye busara wamekua adimu kama almasi.

mambo shaghala bagala.!!
 
bado nina imani kuna watu wachache ndani ya CCM wana Busara; hebu tusubiri tuone!!
 
Funguka vizuri, gari la matangazo limeshawashwa kwa maana ya kuungua au kutembea? Eleza vizuri ni wapi huko?

Maiti zimezuiliwa na Serikali ya ccm hamna mazishi leo, ikitokea bingine tutajuzana
 
Back
Top Bottom