Nguvu ya Tsh. milioni sita (6,000,000)

Mwezi wa sita mwaka huu zimechukuliwa pikipiki SANLG 1.5 MILIONI MWANZA.

KWA WIKI KIJANA ANALETA ELF 70.
SEHEMU NYINGNE ELFU 60.

HII SIO HADITHI SEMA HAPA NI PUBLIC SIWEZI LETA ZAIDI KAAA UNAVYOAMINI.

HII KAZI INALIPA.
Acha mauongo banaaa mwanza ya wapi sanlg bei hiyooo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mwezi wa sita mwaka huu zimechukuliwa pikipiki SANLG 1.5 MILIONI MWANZA.

KWA WIKI KIJANA ANALETA ELF 70.
SEHEMU NYINGNE ELFU 60.

HII SIO HADITHI SEMA HAPA NI PUBLIC SIWEZI LETA ZAIDI KAAA UNAVYOAMINI.

HII KAZI INALIPA.
MUSUKUMA SAWA!!?
 
Hii biashara inalipa Ila sio simple ivo inachangamoto hasa Kwa vijana

Ila I wish kujua ilo chimbo la Sanlg Kwa 1.5mil kama hutojali mkuu
 
Mwezi wa sita mwaka huu zimechukuliwa pikipiki SANLG 1.5 MILIONI MWANZA.

KWA WIKI KIJANA ANALETA ELF 70.
SEHEMU NYINGNE ELFU 60.

HII SIO HADITHI SEMA HAPA NI PUBLIC SIWEZI LETA ZAIDI KAAA UNAVYOAMINI.

HII KAZI INALIPA.
Hauwezi kuleta zaidi kitu gani.??

Huo mchanganuo wako ni mbovu na hapo hakuna biashara unajidanganya tu ... 1 failed transaction, you done
 
Hii kitu hapana.
Huu mchanganuo una utata mkubwa, sio halisia.

Yote kwa yote, kwa sasa hapa Tz hakuna vijana wanaojielewa.
 
Unamkata wa mwanasheria. Mashariti ya kuchukua ni Mali isiyohamishika na wazamini 2 wenye Mali. Pikipiki zote injin no uijue na pikipiki kuharibika sio rahisi ikiwa mpya. Hata ikiharibka baada ya Kama imetembea miezi 5 ukauza milioni sio mbaya.

Huu mradi unalipa.
Kupata hao vijana waaminifu ndio shida
 
nahisi ikiwa utawapata vijana vijana wanao jielewa

ni biashara yenye faida, unawekeza pikipiki km kumi hivi, muda w miezi 6 jela yako isharudi

tena hapo unaanz kula faida
Sasa uweke millions alafu jela tena mkuu, alafu unaonekana neno jela ndo unalitype mara nyingi sana kuna nini Jela kiongozi
 
Bira shaka mtakuwa hamjambo na kazi inaendelea vyema. Nimeamua kutumia ukurasa huu wa Jf kwakuwa ninaimani watu wengi walioko huku niwale wenye uwezo furani kifikra na kifedha.

Bila shaka unaweza kuwa na pesa lakini ukaitumia ovyo kwa Mambo yasiyofaa na hata kupoteza na kujitia baadae.

Leo nimeamua kuja kitofauti kidogo tuache tulivyozoeana.

Bila shaka unaweza kupata ml 3,4,5,hata 20 .

Lakini pia Kama huna uwezo huo Basi nitakuelekeza jinsi ya kupata ml 3 kwa mda wa miezi 4 tu. Siku nyingne..

Tuanze hapa , ewe mwajiriwa , mjasiriamali n.k naomba ufanye kazi moja kwakifupi Sana... najua unaweza kukopa au kwenye acc yako hiyo hela ipo.

Nenda wanakouzia pikipiki za kazi pikipiki ambazo mpya Kama sanlg n.k ambazo kila pikipiki moja uinunue kwa shilingi 1.4-5 milioni, tuseme kwamba utabahatika kununua pikipiki zako kwa milioni 1.4 , ukiwa na milioni 6 utanunua pikipiki 4 na kubakiwa laki 2, .

Andaa mkataba unaokulinda na kukuhami ikibidi uwe na mwanasheria kabisa kwenye huo mkataba.

Tangaza ofa kwa vijana kuwa unatoa pikipiki kwa mkataba.. kila pikipiki moja uwaambie unataka elfu 62000/= kila siku ya ijumaa kwa mda wa mwaka mzima pikipiki itakuwa yao.

62×4=248000
Hiyo hela wape kwenye acc yaani ikifika tu ijumaa wanadumbukiza .

Watafanya hivyo kwa wiki 6 utaingiza 1488000. Utanunua pikipiki nyingne ya tano.

Ukipata ya tano kila ijumaa utaingiza 310000/= .ukihesabu Tena wiki tano utaleta pikipiki ya 6 nakubakiwa chenji.

Kwa mda wa wiki 10 tu utakuwa umereta 2, pengine wengine watakataa kuendesha au watakuwa wasumbufu kureta hela nyang'anya Kisha mpe mwingi ikiwa bado mpya.

Basi tuseme kwa wiki 30 utakuwa na jumla ya pikipiki 10×62=620000/ per wiki. Hakikisha unafanya juu chini kuhakiki ndani ya mwaka unamiliki kumi ili zisiende.

Baada ya miezi 24 utamiliki TATA .. MUNGU NI MWEMA. Ukihitaji maelekezo zaid.utasema. au in-box ipo wazi.
Kwanza hakuna pikipiki ya 1.5 dukani alafu ukifanikiwa kununua jiandae Kila siku kupewa taarifa ya kukamatwa na police, kuharibika, mwisho wa siku itaibiwa
 
Uko sawa lakini ukiwa field ni tofauti na maneno uliyo toa hapa,mahesabu hua hayadanganyi lakini uhalisia hutokea kwenda tofauti na mahesabu ya kitabu

Mimk ni dereva wa mashirika,lakini pia ni dereva taxi wa miaka mingi tu na ndiko niliko anzia,sometimes nakua sina mikataba kwenye mashirika narudi mtaani vijiweni kwenye taxi na ninakua na gari kadhaa nawapa watu na mimi niko mzigoni na gari moja,lakini kiufupi watu hunishinda kwa nyimbo nyingi za uongo,biashara hua ni kuwemo tu siku zote na si kupiga mahesabu kama uliyo piga hapa,mala nyingi mafanikio hutofautiana na mawazo yako
 
Back
Top Bottom