Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Nina imani kuwa nguvu hizi zikitumika kuwashughulikia watuhumiwa wote waliohodhi miradi ya nchi, Tanzania itakuwa nchi tajiri sana.
Kiongozi yeyote anapotajwa kuwania nafasi yoyote ya kisiasa, basi makaburi yote yatafukuliwa. Lakini tujiulize, ni nani msafi Tanzania hii? Nina imani ni wachache sana hasa wale ambao hawajawahi kuwa viongozi.
Kwa mfano: Nilipokuwa sekondari nilikuwa kiranja wa miradi, lakini ndizi za shule zilinikoma.