Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

Uimara na uthabiti wa fikra za kibinadamu hupimwa kwa matokeo ya mapokeo ya watu katika mukdhada wa kifikra hizo,

Aghalabu dunia hutawaliwa na kuamuliwa na wenye akili nyingi, Lolote ulijualo katika fikra na mikingamo yako sivyo lililovyo,

Uafrika mbele ya mzungu ni ushenzi, na uzungu mbele ya muafrika ni utukufu.

Ninaamini Afrika haikukamilika uumbaji wake, pengine ni bara la giza, Uzungu ni nusu uungu, sikubaliani na ushenzi wa Mzungu.

Uafrika ni uungu halisi kwa mwafika, msipoteze utu wenu kwakuabudu umagharibi na ubeberu huku mkitukuza dini zilizoletwa kwa majahazi na kuacha UCHAWI ambao ndio dini za mababu zenu na ndio uafrika wenu.

Leo miaka milioni iliyopita, mzungu anawaabudisha nyinyi Waafrika kwa machapisho yake kuwa kuna Mungu wao na miungu yetu ni ushenzi? Miungu ya Afrika iliyotuletea mvua pasipo na mvua, Miungu ya Afrika iliyotushindia palipo na vita, Miungu ya Afrika iliyotupa uzima palipo na magonjwa, Miungu ya Afrika iliyotusimikia watawala palipo na hitaji hilo, Miungu ya Afrika iliyotusafirisha kwa sekunde tu hata tukitaka kwenda bara la Antaktiki.

Miungu ya Afrika yetu ni ushenzi na miungu ya mabeberu ni uungu mkuu? Leo tunauana kisa dini hizo za washenzi wa magharibi??

Aminini katika uafrika wenu, ustaarabu wa mwafirika wa kulogana na ulozi vidumishwe na kuboreshwa, huo ndio ustaarabu mkuu na utukufu wa Mwafrika, Amueni sasa kutotawaliwa mtakuwa huru, Mzungu atawaiga nyinyi badala ya nyinyi kumuiga yeye
Aisee!
 
Usijidanganye rafiki!! Hakuna position ya uraisi wa nchi yeyote ambayo hawa jamaa hawana influence. Wao kutawala sio lazima awe RC, wanaweza tumia MTU yeyote alimradi unatimiza mission yao.

Daah mission zipi sasa, jamaa noma kumbe
 
Dini yoyote inayotoka kwa mtu mweupe, hiyo ni toxic kwa mwafrika, hasa ngoz nyeus, siongelei wale waarabu waliopora ardhi zetu na kujiita waafrika,, nawaongelea hawa akia sie black people,,kwa sis.ni aibu kushirik ama kuruhusu mashirika ya dini ya operate ktk nchi zetu, maana hiz dini zote ukristo na uislam zililetwa kwa nia mbaya ya kuuwa, kuharbu,kututawala,kutugawanya,kutuchunguza,kutuibia na meeng yakutisha, mashirika mengi ya ujasusi na yasiri yanatoka ktk hiz taasisi zakishenzi yaan uislma na ukristo, hasa madhehebu yale makubwa kama roman catholic, hawa mbwa wameiarbu sana hii nchi, pia afrika wameihujumu sana kwa kuiba siri zetu na mipango yetu na kuipeleka kwa mabos zao ambao ni uko kwa papa na mshirika wake USA hawa wote ni mbwa mwitu, bila kuwasahau wafuasi wa mwamed sjui muhamad, hawa bosi wao yuko huko saudia, ambae nae ni wakala ama kibaraka wa USA, hawa wote wana operate pamoja kumdidimuza mwafrika kupitia dini, dini tunatakiwa kuzichukia maana znatufundisha uongo mkubwa, kuanzia majina ya Mungu, historia za mitume na manabii, history zote wameiba Africa na kuzifanya zao kwa kutengeneza dini zakiluuzi ili kututawala....ONDOKENI KATKA DINI,.MUNGU WA KWE HAITAJI DINI ILI UMJUE, DINI KAMA ZINAWAPENDA AMA WAO KAMA WANAWAPENDA, WANGEWAFUNDISHA THEORIES MBALIMBALI ZA TECHNOLOGY,AMA IZO DINI ZISINGEKUWA ZNATIFAUTIANA, AMA MUNGU WA HIZO DINI ASINGELETWA KWA KUUWA WATU NA KUWAWEKA UTUMWANI FOR MORE THAN400 YEARS.....Acheni kuamin ujinga yesu na kakayake hawana undugu na ninyi wala hawawahusu
FB_IMG_16234301664820356.jpg
 
Tangu mwanzo wa Kanisa kulikuwa na Wakristo walioshika maisha ya useja na pengine walianzisha jumuia.

Kufuatana na mifano ya Yesu Kristo na Bikira Maria, Agano Jipya linatoa habari za wanaume na wanawake waliojinyima ndoa kwa ajili ya ufalme wa Mungu, kama vile mabinti wanne wa Filipo waliokuwa mabikira na manabii (Mdo. 21:9). Hasa mtume Paulo aliwahimiza Wakristo wowote wanaoweza wafanye hivyo kama alivyofanya mwenyewe kwa kufuata shauri la Bwana (taz. 1Kor 7:25-34).

Mababu wa Kanisa kuanzia karne I waliandika juu ya wanaume waseja wanaozungukazunguka ili kuhubiri, na juu ya mabikira ambao utakatifu wao unaonyesha Ukristo ulivyo bora kuliko ulimwengu wa anasa unaoliudhi Kanisa.

Nje ya Dola la Kirumi (Mesopotamia na Persia) useja ulitazamwa kama agano na Kristo la kuwafaa wote.

Polepole mabikira walianza kuorodheshwa na kukubaliwa na askofu na kukusanywa katika jumuia. Ilitokea vilevile kwa wanaume wa toba walioanzisha miundo kamili kuliko juhudi za nyumbani mwao, wakishika ufukara fulani wa hiari, mafungo, kujinyima vyakula mbalimbali, kukesha usiku, kuimba Zaburi na kusali kwa moyo.

Karne XX, ngumu kwa Kanisa na kwa dunia yote, ilileta mangamuzi mapya hasa katika maisha ya ulimwenguni. Kwa mara nyingine walei walichangia sana hali mpya ndani ya Kanisa Katoliki, ya kuthamini na kushughulikia mambo ya kidunia.

Katika juhudi za kuratibu nyanja zote za maisha ya binadamu, baadhi walijisikia haja ya kuwekwa wakfu bila ya kujitenga na maisha ya kawaida.

Polepole Kanisa likafikia uamuzi wa kuwakubalia (1950) mashirika ya kilimwengu ambayo waamini wanawekwa wakfu wawe chumvi, mwanga na chachu kati ya watu. Hivyo wanajitahidi kuwa na moyo wa kujikana na bidii ya kitume kama watawa, lakini pia utaalamu wa kisasa na urahisi wa kupenya mazingira yoyote kama walei.

Kanisa Katoliki duniani lipo imara kufuatia uimara wa shirika lake la kjasusi la Jesuiti ambalo kwa maana halisi ni idara ya ulinzi na usalama ya kanisa Katoliki duniani. Mataifa mengi duniani yanaendesha mifumo yao ya idara za ulinzi kwa kuakisi mfumo wa Jesuiti, hii inasimama mpaka nchini Tanzania. Shirika hilo kwa kiwango kikubwa ndilo linaloamua dunia itawaliwaje.

Shirika la Yesu (kwa Kilatini Societas Iesu, kifupi S.J. au S.I. au SJ au SI) ni shirika kubwa la watawa wanaume 19,216 katika Kanisa Katoliki, lililoenea katika nchi 112 za kontinenti 6.

Wanashirika wanaitwa Wajesuiti na ni maarufu pia kwa elimu yao ya juu katika fani mbalimbali, za kidunia na za kidini.

Mwanzilishi wake ni Ignas wa Loyola ambaye, kisha kuacha jeshi, alifuata kwa juhudi zote maisha ya kiroho na kutunga Mazoezi ya Kiroho ili kuongoza watu wamfuate Yesu Kristo.

Mwaka 1534, Ignas alikusanya vijana sita wakaweka nadhiri za ufukara, useja mtakatifu na utiifu, halafu ile ya kumtii daima Papa.

Miongoni washirika wenye nguvu ndani ya Wajesuiti ni Papa Francis,
Papa Francis au Kardinali Jorge Mario Bergoglio, alizaliwa Desemba 17, 1936 mjini Buenos Aires, Argentina. Ni mfuasi wa Shirika la Wajesuiti tangu mwaka 1969 na alisomea Argentina na Ujerumani. Alipewa ukardinali mwaka 1998.

Na kwa Tanzania miongoni mwa makazi yao wakuu ya wa ujasusi ni Arusha, Dodoma na Dar Es Salaam, Pia kasisi Method Kilain ni miongoni mwa waliopikwa kupitia shule za Wajeisuti ambapo Juni 1985-Juni 1990 Padre Method alitumwa kwenda Roma kujifunzia shahada ya juu ya Kanisa katika Chuo Kikuu maarufu cha wajesuiti cha Gregoriana ambapo baada ya kupata shahada ya M.A (Licence) ya somo hilo aliendelea na kupata shahada ja juu ya udaktari (PhD) katika somo hilo,ilikupata shahada hiyo aliandika kitabu juu ya historia ya kanisa katika Kagera (Bukoba na Rulenge).

Ukipingana na Ukatoliki, umepingana na Uhai wako Kiroho!
Hapa Ni kabla hujaanza kukengeuka na kuamini MIZIMU?
 
Hii habari inavutia sana ila tatizo ni kwamba hiki Kiswahili ni kigumu kueleweka, nadhani umetumia google translate kutoa kwenye Kiingerreza kuleta kwenye Kiswahili
 
Ukipingana na Ukatoliki, umepingana na Uhai wako Kiroho!
Hapa napingana nawewe Mkuu, Kanisa la Waadventista wasabato wamekuwa moja ya Makanisa yanayopingana na mafundisho ya Kanisa Katoliki lakini sijawahi ona lolote ambalo limewahi kufanyika kiroho hata kimwili. Na kanisa la wasabato hadi leo liko imara kiroho zaidi.
 
Labsada ndio sababu Wamerikani hawajawah kumchagua Rais mkatoliki ukiacha JF Kenedy alieuwawa na Joh Biden ndie makamu wa rais wa kwanza wa USA mkatoliki,
Pamoja na maelezo yote hayo kanisa hailwezi kuongoza dunia kama ilivyokuwa zamani..sasa ivi dunia imebadilika sana na kanisa limepoteza ushawish kwa jamii kubwa sana ulimwenguni, kwa sasa kuna 11 families which runs the world, hawa wanainfuence kubwa kwenye energy, Food, and Medicine......
Umafia wa kanisa Catholic umezidi kudhibitiwa vilivyo na haya mambo.

The Rockfeller family, I stand to be corrected.
 
Uimara na uthabiti wa fikra za kibinadamu hupimwa kwa matokeo ya mapokeo ya watu katika mukdhada wa kifikra hizo,

Aghalabu dunia hutawaliwa na kuamuliwa na wenye akili nyingi, Lolote ulijualo katika fikra na mikingamo yako sivyo lililovyo,

Uafrika mbele ya mzungu ni ushenzi, na uzungu mbele ya muafrika ni utukufu.

Ninaamini Afrika haikukamilika uumbaji wake, pengine ni bara la giza, Uzungu ni nusu uungu, sikubaliani na ushenzi wa Mzungu.

Uafrika ni uungu halisi kwa mwafika, msipoteze utu wenu kwakuabudu umagharibi na ubeberu huku mkitukuza dini zilizoletwa kwa majahazi na kuacha UCHAWI ambao ndio dini za mababu zenu na ndio uafrika wenu.

Leo miaka milioni iliyopita, mzungu anawaabudisha nyinyi Waafrika kwa machapisho yake kuwa kuna Mungu wao na miungu yetu ni ushenzi? Miungu ya Afrika iliyotuletea mvua pasipo na mvua, Miungu ya Afrika iliyotushindia palipo na vita, Miungu ya Afrika iliyotupa uzima palipo na magonjwa, Miungu ya Afrika iliyotusimikia watawala palipo na hitaji hilo, Miungu ya Afrika iliyotusafirisha kwa sekunde tu hata tukitaka kwenda bara la Antaktiki.

Miungu ya Afrika yetu ni ushenzi na miungu ya mabeberu ni uungu mkuu? Leo tunauana kisa dini hizo za washenzi wa magharibi??

Aminini katika uafrika wenu, ustaarabu wa mwafirika wa kulogana na ulozi vidumishwe na kuboreshwa, huo ndio ustaarabu mkuu na utukufu wa Mwafrika, Amueni sasa kutotawaliwa mtakuwa huru, Mzungu atawaiga nyinyi badala ya nyinyi kumuiga yeye

Hapa Mkuu Uliucheza mwingi sana…!
 
Kwanza sii kweli Jesuit ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki, japo lilipoanzishwa, ni kweli lilifanya ujasusi, ila baadaye likabadilika na sasa linaongoza kwa kutoa elimu.

Kuhusu ujasusi, kwa taarifa yako, wale wote walioitwa wavumbuzi, explorers ni majasusi na walidhaminiwa na makanisa!. Wamisionari wote ni majasusi!, wanabalozi wote ni majasusi!, wawekezaji wengi tuu ni majasusi!, hata humu jf tuna members kibao ni majasusi!.

Pili sii kweli ukipingana na ukatoliki umepigana na Uhai wako!, wako Wakatoliki kibao walioasi na leo wanaendelea kuishi!.
  1. Padri Felician Mkwera ni Padri wa Katoliki, amepgana Ukatoliki, ameanzisha kundi la Wanamambi na anaendelea kuishi!.
  2. Askofu Zakaria Kakobe alikuwa Mkatoliki, amepigana na Ukatoliki ameanzisha kanisa lake la FGBF na anendelea kuishi!.
  3. Mtume na Nabii, Josephat Mwingira alikuwa Mkatoliki, amepingana na Katoliki kaanzisha Ephata na yupo!.
  4. Mzee wa Upako, Anton Lusekelo alikuwa Mkatoliki, ameanzisha kanisa lake la Upako pale Ubungo na yupo!.
  5. Padri W.P Slaa, ni Padri wa Katoliki, kapingana na useja, akaacha Upadri, na leo ni mwanasiasa na yupo!.
  6. The list goes on....
Hivyo usilete uongo huu, ila pia niliwahi kuuliza humu, Kwanini, Rais wa Tanzania, akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?!, uzi ule ulifutwa fasta ila Julius alikuwa Mkatoliki, Benyamini naye ni Mkatoliki, hivyo aliyepaswa kufuata mwaka huu, 2015 alikuwa ni awe Bernado, Petiro, au Yahane!, ila Eduarado amekubaliwa kutumbukiza pua kwa sababu Regina ni Mkatoliki, ndio maana hamsikii juhudi zozote kutoka kwa Samwilu! au Federiko!.

Na kufuatia Ukatoliki huu, hata majina kama Januari, Anderea ni majina ya kikatoliki!.

Pasiko
Na hata hao marais waislamu wa Tanzania ni lazima wakubalike na jeisuiti. Najua siwezi kueleweka.
 
Back
Top Bottom