Nguvu ya Marekani inatokana na nini?

dola LA urusi.
Hapo unatupoteza mkuu, kabla ya vita kuu ya pili ya dunia Uingereza ndio ilikuwa super power bado ya hapo ndio ikainuka USA baada ya uchumi wa ulaya kuzoroteshwa na vita. Wakati huo kulikuwa na USSR (sio Russia) ilikuwa inafuata mfumo wa ujamaa na haikuwa super power
 
Najiuliza ili swali kwanini nchi kama Urusi, China, Uingereza, Germany, France na nchi nyingine nyingi tu ambazo ziko juu kiuchumi zenyewe hazina uwezo wa kuzifungia ama kuziwekea vikwazo nchi nyinginezo ambazo zinatofautiana nazo kimaslahi na vikwazo ivyo vikatekelezwa na dunia nzima kama afanyavyo Marekani

Namaanisha kwanini Marekani yeye anaamka tu asubuhi anasema Tanzania nimekufungia kununua ama kuuza hiki na kile duniani kote baada ya tamko ilo la Marekani nchi zote duniani zinafata ilo agizo na zinalitekeleza vyema sana bila ata kupepesa macho yaani nchi zote duniani zinafata kauli ya Marwkani na Tz akiamua kushusha bei ili auze kiurahis akuna nchi inayokubali kufanya naye biashara

Kwani Marekani yeye ana kitu gani cha ziada ama cha zaidi ya inchi nyingine zote duniani nataka kujua kitu gani ambacho exptional tofauti na nchi nyingine yoyote yeye anacho na sisi wengine ama nchi nyingine hatuna
Mm nahisi inatokana na hiv vitu

-Dollar imperialism
-millitary power
-strong polical system in the world especially foreign policies
-strong economy
( investments,loans,funding of many projects worldwide)
-high technology
 
1.Marekani ndio anamiliki mfumo wa fedha duniani kwa kiasi kikubwa,mifumo kama VISA,MasterCard,PayPal.Pia ni moja ya wabie kwenye mfumo wa SWIFT maana SWIFT huwa wana comply na kila sanctions standards zinazotolewa na Marekani.
2.Mfumo wa dunia wa kuuza na kununua vitu(Export & Import) kwa kiasi kikubwa kama 90% unafanyika kwa kutumia dollar ya Marekani,items kama Mafuta,Gesi ukopaji wa madeni,vyote vinafanyika kwa Dollar ya Marekani.
Hapo inakuwa rahisi kwao kuweka kikwazo sababu wanajua lazima upite kwenye hiyo mifumo hapo juu.The only way ya kuachana na marekani ni ku replace hiyo mifumo hapo na kuja na mifumo mingine...
Good morning...
 
Hicho ndo China anataka kuachana nacho

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Hicho ndo China anataka kuachana nacho

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Yeah,its need time,plan and support sio lelemama kuachana na doller dominance,..Marekani wali invest kweli kweli kwenye hii issue.So kumuondoa inahitaji nguvu kubwa na support kubwa mno,China kama China yenyewe itakuwa ngumu sana.Marekani ilipata Support ya Ulaya na East Asia kufanya haya,China naye atafute support ya kueleweka tu
 
Nchi yenyewe ilipata Uhuru mwaka 1770's huko unategemea Nini??? Unaweza kulinganisha na nchi iliyopata Uhuru 1990's
 
Mkuu kimsingi ili uwe superpower lazima uwe vizuri Kiuchumi na Kijeshi,na kikubwa lazima umwangushe aliyekuwa superpower hapo awali-hizo nguvu za kijeshi na kiuchumi ni kama ingredients katika kufanikisha.

Kumbuka kabla USA hajawa superpower alikuwa U.S.S.R.ambayo iliangushwa na USA kwa vita baridi ya kutumia tu Sera za kiuchumi.Ukisoma mgogoro wa kiuchumi aliyoikumba Dunia has a Nchi za kijamaa miaka ya 1970's ni mgogoro wa kutengeza lengo likiwa ni kuiangusha Russia federation na Nchi za kijamaa na hakika ulifanikiwa na ndio ukawa mwisho wa dola LA urusi.

Tukirudi kwenye hoja yako ya msingi,mfumo mkubwa unao ibeba USA ni mfumo wa kifedha yani matumzi ya fedha ya USA-dolla kutumika kama kiungo kikuu cha ubadilishaji fedha kwenye solo LA dunia.Ndio maana Nchi za BRICS zikaja na mpango wa kuwa na Bank ya pamoja na badaye kuwe na Currency ambayo itatumiwa na washirika kuuziana bidhaa na huduma lengo likiwa ni kuondoa mfumo dollar na Ku gain power.
Huo mpango umeishia wapi BRICS
 
Point of correction, USA alikuwa super power baada ya England kuathirika vibaya kipindi Cha vita ya pili ya dunia, USSR alikuwa ni mcommunist na USA alikuwa bepari, kwahiyo Vita baridi sema ilileta hasara zaidi kwa USSR maana alijiandaa Sana kijeshi.
 
Hadi Leo ulikuwa hujajua kuwa USA ni nchi inayoongoja kiuchumi na kijeshi duniani? Kwamba akikohoa hakuna wa kumpinga? Na kwamba akiamua kumpiga yoyote anaweza na hakuna wa kumuuliza?
Akiamua kumpiga yeyote? We Kuna nchi Marekani ingeshazipiga muda Sana Ila walifuatilia wakaigundua mioto mwingine so ya kuotea karibu
 
siku nchi zikiamua zitatumia bitcoin kufanya shughuli zao ndio Marekani itashika adabu

$ yao ndio ina wapa 'golden boot' on the field

sioni lingine kwani nchi ulizotaja zipo mbele namna moja ama nyingine kimaendeleo kuliko wao!
 
mbali na kukubaliana na hayo bado usa ina mapungufu makubwa
Dollar ilikuwa inalindwa na dhahabi iliopo hazina,alipokuja Nickson akabadili ikawa currency,tafsiri yake sio hela-money bali ni hela inayo shuka na kupanda kwa wakati huo.Kipindi fulani usa ilikuwa na deni la billioni 78 kwa wastaafu ambalo lilikuwa halilipiki.Uanzishwaji wa Vita ya ops desert Storm iliyoanzishwa na rais Bush wa pili ilikuwa kwa ajili ya kubadili upepo kutokana na matatizo ya ndani.Vita ambayo imeigharimu nchi hiyo pakubwa.
 
Iyo mifumo ni ipi ambayo nchi nyingine haziqezi kuimiliki mkuu
tuanzie na huduma ya internet inayokupa access ya kuingia jf na kutoa maoni yako. wenye mamlaka na huduma hii ni wamarekani.
IMG_20210507_104122.jpg
 
Wana ushawishi mkubwa;hapo ndipo walipowekeza zaidi . Nchi zingine hazina ushawishi
 
siku nchi zikiamua zitatumia bitcoin kufanya shughuli zao ndio Marekani itashika adabu

$ yao ndio ina wapa 'golden boot' on the field

sioni lingine kwani nchi ulizotaja zipo mbele namna moja ama nyingine kimaendeleo kuliko wao!
Ata tukitumia bitcoin boss bado kuna ni bure maana mifumo yote inatumia teknolojia ya marekani sema itapunguza Tu nguvu ya marekani, marekani inachoipa nguvu ni mifumo yote ya kifedha ni technologia yake akitaka kuweka vikwazo anakutandika Tu na dunia saivi kwenye vifaa vya electorinic tunatumia sana chip ambayo ni teknolojia yake sehemu kubwa ya dunia kaishika
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom