Nguvu ya Chadema yadhihirika , baada ya Kukataa Kukutana na IGP , Mkutano huo wayeyuka rasmi

Tatizo ni moja mkuu, kutofanyika kwa huo mkutano / kikao, kuna faida yoyote kwa CHADEMA?? Maana mikutano na makongamano yanaendelewa kuzuiwa.

Sisemi kuwa kikao kilikuwa cha muhimu au cha maana, nachosema ni kuwa CHADEMA kinafeli kwa kucheza ngoma za Sisiemu. Sio Msajili wala Polisi waliokuwa wanahitaji hicho kikao sababu hawana wanachopoteza.

Stay focused
Faida ya wacha Mungu kukutana na Shetani ni zipi ? kukutana na Sirro ni kuvunja Katiba ya nchi kibwege sana , kwenye harakati za siasa Sirro binafsi au kwa cheo chake cha muda mfupi cha IGP hahusiki popote , tunakutana naye kwa lipi ?
 
Mkuu hivi una muda wa kukaa chini na familia yako mkajadili mambo mengine ya maisha kinyume na siasa, au hata kutumia muda fulan kutembelea ndugu mbali mbali? Maana kila muda upo jamvini kuandika habar za siasa.. Au una stress za kupoteza kura kwenye uchaguzi mkuu? Nashauri kila unapokwenda au ukapokaa uwe na mtu pemben wa kukuangalia maana kuna siku unaweza kujikuta umejifanyia jambo la ajabu afu wenye chama wanabaki duniani wanakula bata.
Wewe umeonaje kuwa kila SAA yuko humu? Si kwamba na wewe kila saa uko humu na ndiyo maana unamuona?

Na wewe tukuulize swali hilo hilo, kuwa, Je wewe huwa unapata muda wa kwenda shambani kweli ili kuchuma zile nyanya zako, maana kila muda uko JF...!!
 
Mkuu hivi una muda wa kukaa chini na familia yako mkajadili mambo mengine ya maisha kinyume na siasa, au hata kutumia muda fulan kutembelea ndugu mbali mbali? Maana kila muda upo jamvini kuandika habar za siasa.. Au una stress za kupoteza kura kwenye uchaguzi mkuu? Nashauri kila unapokwenda au ukapokaa uwe na mtu pemben wa kukuangalia maana kuna siku unaweza kujikuta umejifanyia jambo la ajabu afu wenye chama wanabaki duniani wanakula bata.
shida yako nini mkuu. kwani anakula kwenu au kakuomba debe la unga?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Nguvu ya Chadema ni kubwa sana ndani ya Tanzania , na ndio maana Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi alipoona Chadema imekataa kukutana na IGP kwa hoja nzito sana , akaamua kusalimu amri na kuingia mitini na ule mpango wake wa kukutanisha wapinzani na IGP ambaye ndiyo kiongozi wa Unyanyasaji na ubambikaji kesi wapinzani ukafa kibudu.

Huwezi kukutana na Wapinzani halafu Chadema isiwepo , hutafanya lolote , utakutana na Mrema au Queen Sendiga ?
Chama ni Chadema. Vingine miyeyusho
 
Tatizo ni moja mkuu, kutofanyika kwa huo mkutano / kikao, kuna faida yoyote kwa CHADEMA?? Maana mikutano na makongamano yanaendelewa kuzuiwa.

Sisemi kuwa kikao kilikuwa cha muhimu au cha maana, nachosema ni kuwa CHADEMA kinafeli kwa kucheza ngoma za Sisiemu. Sio Msajili wala Polisi waliokuwa wanahitaji hicho kikao sababu hawana wanachopoteza.

Stay focused
Una haki ya kucomment lakini sio kila upuuzi ndugu.

Kuhudhuria kikao kile ni faida sio kwa ccm. Maana ccm haipo tena. Ilikuwa faida kwa Policcm.
 
Mkuu hivi una muda wa kukaa chini na familia yako mkajadili mambo mengine ya maisha kinyume na siasa, au hata kutumia muda fulan kutembelea ndugu mbali mbali? Maana kila muda upo jamvini kuandika habar za siasa.. Au una stress za kupoteza kura kwenye uchaguzi mkuu? Nashauri kila unapokwenda au ukapokaa uwe na mtu pemben wa kukuangalia maana kuna siku unaweza kujikuta umejifanyia jambo la ajabu afu wenye chama wanabaki duniani wanakula bata.
Sasa huku kupangiana mpaka cha kupost humu as if bundle umemnunulia imekaaje hii?? Mbaya zaidi unaongea as if you know everything about him na ratiba zake za kimaisha, acha hizoo jombaa...
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Nguvu ya Chadema ni kubwa sana ndani ya Tanzania , na ndio maana Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi alipoona Chadema imekataa kukutana na IGP kwa hoja nzito sana , akaamua kusalimu amri na kuingia mitini na ule mpango wake wa kukutanisha wapinzani na IGP ambaye ndiyo kiongozi wa Unyanyasaji na ubambikaji kesi wapinzani ukafa kibudu.

Huwezi kukutana na Wapinzani halafu Chadema isiwepo , hutafanya lolote , utakutana na Mrema au Queen Sendiga ?
Rubbish, magaidi unakutana nayo kufanya nini. Acheni Kiki za kizamani Sana saccos.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Nguvu ya Chadema ni kubwa sana ndani ya Tanzania , na ndio maana Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi alipoona Chadema imekataa kukutana na IGP kwa hoja nzito sana , akaamua kusalimu amri na kuingia mitini na ule mpango wake wa kukutanisha wapinzani na IGP ambaye ndiyo kiongozi wa Unyanyasaji na ubambikaji kesi wapinzani ukafa kibudu.

Huwezi kukutana na Wapinzani halafu Chadema isiwepo , hutafanya lolote , utakutana na Mrema au Queen Sendiga ?
Hata samia ameshindwa kukuta na wapinzani bila ya uwepo wa chadema
 
Back
Top Bottom