Nguvu ya CHADEMA sasa imebaki mikononi mwa Lissu pekee; Siku akihama chama hiki kitameguka vipande vipande

Wenzenu wanapanga safu ya mashambulizi nyie endeleeni kuchambana.

Muda ukifika muanze kuilaumu tume huru ya uchaguzi.

Tume ya uchaguzi sio huru, bila kujali wanachambana au la. Tena nitavishangaa vyama vya upinzani kama vitapoteza muda wao kushiriki uchaguzi bila uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Sisi wapiga kura wa upinzani tunajitambua, hatuko tayari kushiriki uchaguzi wa kihuni.
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)

Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!

Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!

Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!

Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!

Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!

Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!

Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
Nguvu pekee ya CCM kuendelea kutawala ni mabavu ya dola. Bila mbeleko ya vyombo vya dola CCM ni kama kikundi cha mchiriku tu.
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)

Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!

Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!

Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!

Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!

Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!

Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!

Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
Mbona walishasema Chadema imekufa , kumbe tulidanganywa !
 
Sema Chadema mtandaoni.
 
CDM inawafanya ccm wasipate usingizi nimesikia hata mpaka kijijini chattle vijana wa CDM wametoa kichapo kikali kwa uvccm mpaka watu wamelazwa hospitali. Peopleeeeees!
 
au siyo
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)

Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!

Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!

Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!

Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!

Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!

Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!

Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!

Umeharibu kidogo kwa kufikiria keki ukasahau ngano kwani nguvu ya Chadema haipo kwa Tundu Lissu, Mbowe wala kwa Mwalimu bali ukitaka kujua nguvu ya Chadema au hata chama chochote kile basi weka Tume huru ya uchaguzi na hapo ndipo utakapoona chama gani ni sawa na makalio ndani ya chupi kama unavyojaribu kutulisha matango pori yako
 
Hivi huyu Tundu A. Lissu kinachomzuia kurudi nchini ni nini hasa?

1. Hana uhakika wa Usalama wake?
2. Anasubiri kukamilishwa kwa matibabu yake?
3. Anasubiri Lockdown kwa mabeberu iishe ndio arudi?
4. Anamuogopa Hakimu Huruma Shahidi pale Kisutu
 
Sasa ukiondoa Lissu! Hii Chadema Mtandaoni si ni sawa na Makalio ndani ya chupi tu, wanapiga kelele lakini hawana madhara! wamejaa uoga tu
 
Tofauti yangu na wewe ni kwamba wewe unazungumzia mtu mimi najaribu kuzungumzia mfumo kwani sie watu wote ni wa kupita tu
 
Hivi huyu Tundu A. Lissu kinachomzuia kurudi nchini ni nini hasa?

1. Hana uhakika wa Usalama wake?
2. Anasubiri kukamilishwa kwa matibabu yake?
3. Anasubiri Lockdown kwa mabeberu iishe ndio arudi?
4. Anamuogopa Hakimu Huruma Shahidi pale Kisutu
Jeshi la polisi halijamjibu maombi yake;
kwamba Kama wameshindwa taarifa za uchunguzi wa shambulio lake, Wanamuhakikishia ulinzi gani atakaporudi?
 
Tofauti yangu na wewe ni kwamba wewe unazungumzia mtu mimi najaribu kuzungumzia mfumo kwani sie watu wote ni wa kupita tu
huo mfumo mwenye nguvu ya kuitikisa Ni Tundu lissu wengine hawawezi!
Lissu akisimama mtu mbili hivi, uchaguzi ukawa huru na haki, anaweza kupewa kura ndani na nje, Kivuli Cha Tundu lissu kinaogopwa Sana na wenye madaraka!
Lissu level yake Ni ya kimataifa!
akiongea Jambo Hadi nje ya nchi wanamuelewa
 
Back
Top Bottom