Nguvu Ya CHADEMA Kigoma:Kuna Wabunge na Madiwani Wangapi Wa CHADEMA?

Unesi ni kazi ya hesima kubwa. Kila aliyezaliwa hospitali aliingia kwenye mikono ya nesi na kuhudumiwa vizuri mpaka leo anajisikia fit kuandika kejeli juu ya taaluma ya unesi.

By the way, mimi sio nesi. But nursing is a highly respectable profession.
It was a yes or no answer.Why so defensive?wapi nimedharau taaluma ya nursing?Kwasababu kazi yako wewe na Slaa tu 27/4 humu.So I was wondering wapi muda wa huduma?
 
It was a yes or no answer.Why so defensive?wapi nimedharau taaluma ya nursing?Kwasababu kazi yako wewe na Slaa tu 27/4 humu.So I was wondering wapi muda wa huduma?

Ni vema kama umetambua kuwa manesi wanastahili kuheshimiwa.

Hiyo huduma wanaohitaji wanajua inapatikana wapi na muda gani.

Merry Christmass...
 
acha uongo ! Noma sana kwa kijana kuwa mwongo ! Kwani kigoma kuna watu wangapi ?

Hapana,uliza hivi: kwani kigoma "INAWAPIGA KURA WANGAPI"? (kama kweli walichangia asilimia zaidi ya 50 kwa dr slaa aliyetangazwa na NEC kuwa alipata kura milioni mbili na usheeeeeeee!?)
 
Ni vema kama umetambua kuwa manesi wanastahili kuheshimiwa.

Hiyo huduma wanaohitaji wanajua inapatikana wapi na muda gani.

Merry Christmass...
Merry Christmas,ila uwe unajikita kwenye hoja,kushinda humu kuandama watu na kutukana siyo dili wala nini,wewe mkongwe,kata issue JF original style.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom