Nguvu wanayopewa wanawake wa kibongo ni kubwa mno

Kaka wanaume wa aina hii wanaoona uovu dhairi na ukandamizaji wa kisheria dhidi ya wanaume na wanatetea maovu haya NAWAWEKA KUNDI MOJA NA WANAWAKE NA WATAKINYYEA KIKOMBE CHA GADHABU YANGU AMBAYO HAIJACHANGANYA NA MAJI KUIPOZA (UNDILUTED)
Na wakinywee tu mkuu hicho kikombe cha ghadhabu yako, si dhambi kwani una lengo zuri la kutoa fundisho. Hali inazidi kuwa mbaya sana.
 
Sikujua kama uzi huu ungekugusa hivyo kaka, pole sana kwa kukutonesha kidonda. inauma sana wewe kufurahia maisha huku ndugu yako anasota behind bars.
Kuna siku nilitaka kuandikia uzi kisa hiki ila sikupost nikafuta na kugairi maana nilijua nitatibua upya majonzi niliyotembea nayo kwa miaka 13 kama lizombie nisie na hata punje ya amani moyoni.
 
Back
Top Bottom