Nguvu tuliyo nayo wanadamu ambayo hatuitumii na wengi hatuifahamu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Kuna nguvu tuliyopewa na Mungu ambayo ina uwezo wa kukutibu maradhi yako, kukuepusha na majanga au kukupa uwezo wa kupigaba na adui. Nguvu hii hukaa kwenye viungo vya uzazi.

Nguvu hii iko sehemu ambayo mwili una uwezo wa kuuinganisha uhai mpya wa kiumbe, mwili una uwezo wa kutoa uchafu, kwa haja kubwa na ndogo. Kujiunga na nguvu hizi inamaana mithili ya mazoezi ya Yoga 🧘‍♀️ na unajiunga na spirit kutoka a na dini na imani yako.

Unapojamiiana unapoteza uwezo wa nguvu hizi, hasa kwa wale wanaofanya ngono zembe.

Ukiweza kujuinga na nguvu hizi kwa imani kali unaweza kujitibu maradhi makubwa hata cancer, kisukari nk.

Nimesoma katika kitabu cha meditation cha Middle East.
 
Nguvu hii iko sehemu ambayo mwili una uwezo wa kuuinganisha uhai mpya wa kiumbe, mwili una uwezo wa kutoa uchafu, kwa haja kubwa na ndogo. Kujiunga na nguvu hizi inamaana mithili ya mazoezi ya Yoga na unajiunga na spirit kutoka a na dini na imani yako.

Unapojamiiana unapoteza uwezo wa nguvu hizi, hasa kwa wale wanaofanya ngono zembe.

Ukiweza kujuinga na nguvu hizi kwa imani kali unaweza kujitibu maradhi makubwa hata cancer, kisukari nk.

Nimesoma katika kitabu cha meditation cha Middle East.
Kitabu hiko cha meditation kinasemaje? Tupe INTRODUCTION kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meditation 🧘‍♂️ ni nzuri kwa afya, hata madaktari wanashauri
Yah kuanzia 1948 WHO waligundua kuna vitu nyuma ya ugonjwa kama stress, mawazo, kukosa kazi, kuachwa na mpenzi kukosa marafiki hivi vyote vinaweza kukuletea maumivu ya kichwa sasa kuliko kunywa Asprin kutibu kichwa ni kheri ujue chanzo cha maumivu ya kichwa
 
Kuna nguvu tuliyopewa na Mungu ambayo ina uwezo wa kukutibu maradhi yako, kukuepusha na majanga au kukupa uwezo wa kupigaba na adui. Nguvu hii hukaa kwenye viungo vya uzazi.

Nguvu hii iko sehemu ambayo mwili una uwezo wa kuuinganisha uhai mpya wa kiumbe, mwili una uwezo wa kutoa uchafu, kwa haja kubwa na ndogo. Kujiunga na nguvu hizi inamaana mithili ya mazoezi ya Yoga 🧘‍♀️ na unajiunga na spirit kutoka a na dini na imani yako.

Unapojamiiana unapoteza uwezo wa nguvu hizi, hasa kwa wale wanaofanya ngono zembe.

Ukiweza kujuinga na nguvu hizi kwa imani kali unaweza kujitibu maradhi makubwa hata cancer, kisukari nk.

Nimesoma katika kitabu cha meditation cha Middle East.

Meaning stick to one partner.
 
kwahy hizo nguvu haziishi kwa wale wanaofanya mapenzi wakiwa kwenye ndoa.?
hapo hakuna nguvu wala vungu
 
Back
Top Bottom