Nguvu iliyoko kwenye branding na kwa nini unatakiwa kujibrand bila ukomo

Ebu weka sampuli ya mabango ya mpesa tigo pesa airtel money na halo pesa, nataka unifanyie hiyo kazi kwenye kishop changu
Tusamehe sana kwa kuchelewa kukujibu. Ila kwa haraka zaidi tuwasiliane kwa hii namba: 0765920434 (WhatsApp/Call/Text)
20211130_173642.jpg
20211130_175341.(2).jpg
20211130_175353.jpg
bango.jpg
 
Braza, mimi kwakwel sijui ni namna gan naweza kui brand service that am offering..Yan sijui hata kwa watsap sijui ni namna gan i can brand it ..i dnt kwy but labda ni kwa nature ya what am dealing with na customers walengwa..Kama unaweza ukanishauri na kunipa darasa we can do the job Eyce hapa pia unahusika
 
we mzee si nilikuambia nimestaafu 😁😁labda uje premium prices za 2022 unishawishi
 
Braza, mimi kwakwel sijui ni namna gan naweza kui brand service that am offering..Yan sijui hata kwa watsap sijui ni namna gan i can brand it ..i dnt kwy but labda ni kwa nature ya what am dealing with na customers walengwa..Kama unaweza ukanishauri na kunipa darasa we can do the job Eyce hapa pia unahusika
Tucheki kwa whatssap/piga kupitia no 0765 920 434
 
Hivi branding ni messaging au ni hizi logo?

kwa lugha nyepesi

Branding ni mchakato wa kutengeneza Brand

Brand ni kitu chochote kinachomsaidia mtu yoyote ama mteja wako kuweza kutambua na kutofautisha bidhaa yako na za wengineo.. Yaweza kuwa Jina, Rangi, logo, muundo, Packaging, harufu, sauti kama jingles, tagline

Leo ukiona jengo lenye mistari ya kijani, unajua ni CRDB bila mtu kukuambia

Ukiona apple lililong'atwa unajua ni iphone

ukiona kitiki kwenye kiatu unajua ni nike

Ukisikia "Radio ya watu" unajua ni clouds

Hivi ni vitu basic vinavyohitaji printing kama mkuu anachofanya

Ila kabla ya yote lazma kuwe na Brand Concept, unaangalia unataka brand yako iweje, ijulikanaje, iwajengee hisia gani watumiaji

haya yote yanategemea na nani unaemlenga kuwa mteja wako

Bidhaa nyingi luxurious kama magari au iphones zinawalenga watu daraja la juu, kwani kwao "Image" ni suala la msingi
ndio maana wanatengenezewa vitu exclusive na quality ya juu kwa bei kubwa.. kwani kwao kumiliki kitu ni zaidi ya functionality ila kuonesha position yao kwenye jamii.. same kama heinnesy, sio ladha ni ile feeling mtu anaipata akipiga nayo picha au akiitumia

Kwa wanaolenga kwa daraja la chini kinachoangaliwa ni gharama tu maana kikubwa ni affordability na sio quality.
hapa utaona brand kama tecno zinawin kirahisi

Kwa hiyo mtu akishajua anamlenga nani, atatengeneza bidhaa na kuiwasilisha in a way wanunuzi watajishikiza kwake..
hapa ndio utakuta inatengenezwa bidhaa, message au promo ya aina flani, inapelekwa maeneo flani tu na wanapewa celebrities flani waitangaze

Kwa kifupi ni hivyo japo yapo mengi. Mpigie simu mtoa mada atakupa experience practical zaidi
 
Wewe ndio umenipa jibu sahihi, nilimchallenge kidogo tu mleta mada aliongelea a very small portion of branding na kugeneralize kama ndio branding. Hizo colors na logo ni kumpunguzia consumer headache ya kutafuta/kutotafuta your product after consuming.

Branding is the value you deliver (message). The rest ni identification tu of your product/service.​
 
Ni kweli mkuu, Branding ni process ya kutengeneza thamani kwa mteja lakini pia kwako wewe muuzaji au mmiliki wa brand

Ukitengeneza brand pasipo kutegemea kukua kwa value yako ama ya biashara yako then hiyo ni wastage

Branding kama Marketing, Sales au PR zote zimeegemea katika "Communication" kwa hiyo upo sawa mkuu
 
Haya madini hayapo kwenye syllabus 😊😊
 
Wewe ndio umenipa jibu sahihi, nilimchallenge kidogo tu mleta mada aliongelea a very small portion of branding na kugeneralize kama ndio branding. Hizo colors na logo ni kumpunguzia consumer headache ya kutafuta/kutotafuta your product after consuming.

Branding is the value you deliver (message). The rest ni identification tu of your product/service.​
Mtoa mada yuko sahihi kakujibu simple, straight and clear no long story!

wewe unachanganya "branding" na "brand" ni vitu viwili tofauti.
 
Mteja anapoprint na sisi tunampatia free design kwa kazi zake,tunacaharge printing cost tu.
Cheki hii package design za mteja wetu.
Tucheki kupitia whatssap no 0765920434 tukudizainie designs zako mbalimbali na kukuprintia

01.Food menu

Food Menu-2.jpg

02.Bango/banner design
burger.jpg
 
Ifanye biashara yako iishi zaidi katika mioyo ya wateja wako kwa package yenye brand yako.
Ni bango linalotembea kwa wale hawajawahi kuja dukani kwako ila wanaweza ona na wao wakaja.
@santaprint tunaprint mifuko mizuri namna hii, kwa weledi na uharaka.

Contact; 0765 920 434
Tupo Ubungo-Mawasliano

Asante @mabibo_trends kwa kutuamini. Nguo zako nzuri na zivuke mipaka!
FK-_iSwXMAMmT0_.jpg

FK-_ht2XEAMmIQd.jpg
 
Tunadesign na kuprint bango tamu kwa ajili ya duka lako.
● Bango linaloitambulisha na kuilinda Brand yako,
● Bango simple na zuri lazima liwe na rangi chache zinazoshabihiana na logo, maneno ya muhimu tu kufikisha ujumbe
Na sisi SantaPrint ndio uwanja wetu wa nyumbani.
Square metre 1 tunaprint kwa Tshs 15,000/=
#Karibuni_sana
0765 920434
Ubungo, Mawasiliano nje ya stand ya Daladala ya Simu 2000
272828002_378012800658964798_2932049429448716768_n.jpg
 
Nilipita mawasiliano stend nikaona bango la ofisi yenu nkiwa ndani ya stend ntakuja kuprint business cards
 
Designs & prints za Nera app
Ahsante Nera app kutuamini nakutupa order ya package yenu ya business cards,table talker na bronchures.
Nera app ni e-commerce platform inayomkutanisha muuzaji na mnunuaji unaweza download app yao ukauza au kununua bidhaa mbalimbali.

Kwa kazi kama hii na printing ya aina yeyote katika vitu mbalimbali,Tucheki kupitia 0765 920 434 whatssap au kupiga.
Tupo ubungo mawasiliano mkabala na stend ya mawasiliano(simu2000)
Card2.jpg

Card1.jpg

IMG-20220203-WA0000.jpg

Trifold Brochure_1.jpg

20220206_114930.jpg
 
Back
Top Bottom