Nguruwe mwitu wamesahaulika

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
26cb8b0fe2d4cc13f70e6a70670078fc.jpg
99803bb0e2d8cd13f70e6a706700371a.jpg

Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama si rasilimali kama wanyama wengine?
 
aaah....hakuna aliyewasahau bana.....hawa machalii mbona wapo tuu....sanasana wanapenda kwenye thick forests...kama Ngorongoro wanapatikana kwa sana tu

Hao mbona wa tauni..........hawa ndio wa bush....wapo kibao na wanalindwa vibaya sana

4991.jpg

Huyu si nguruwe ni mnyama pori aitwaye ngiri, kwa umbile anafanana kidogo na nguruwe ila wanatofautiana kwa kiasi kutokana na ngiri meno yake kuwa kama pembe na nguruwe meno yake hayarefuki sana kama ngiri.
 
Umenikumbusha video ya wimbo wa DUDU BAYA....nakupenda tu jinsi ulivyo nakupenda tu...mi meno kama ngiri...nakupenda tu....
 
selou wa kumwaga!
mkuu, hawa machalii wapo kibao tu mtaani..........hapa kati Ruvu tu wapo kibao.
vijana wanawakamataga kwenye shamba langu wananiletea mboga!!!
ila ni nyara ya taifa mkuu, siku moja kijana alikamatwa na polisi wa pale kibaha!!
duh! zilinitoka na mboga wakaichukua!!! iliniuma!
 
Hao polisi Kibaha walichotaka ni kitoweo, vinginevyo wasingekuachia
 
mkuu, hawa machalii wapo kibao tu mtaani..........hapa kati Ruvu tu wapo kibao.
vijana wanawakamataga kwenye shamba langu wananiletea mboga!!!
ila ni nyara ya taifa mkuu, siku moja kijana alikamatwa na polisi wa pale kibaha!!
duh! zilinitoka na mboga wakaichukua!!! iliniuma!

Kuna dini fulani nguruwe ha mnyama haramu kuwa kitoweo hata kuonekana hadharani, je na hawa nguruwe mwitu ni haramu pi?
 
hahahahaa!!!
sijui mkuu!
ila kwa wasabato, najua hata mwitu ni haramu, kwasababu wanatumia maandiko ya kwenye agano la kale.....wanyama wasio na kwato na wasiocheua, na samaki wasio na magamba!!!

sasa sijui jamaa zangu wanatumia maandiko ya namna hiyo, au kitoweo kimetajwa kabisa kwa jina!!!
 
Maandiko hayo ya agano la kale na jipya yanapingana ndo maana tunasema misaafu si dotrini ya kufuata badala yake kuwe na miongozo mbadala kama wale jamaa dini ya kisomi wanaotumia Canon Law kama mwongozo wao.

Msahau huo huo unaokataza kula wanyama wasiosongolewa lakini Paulo alipopata njozi na kuambiwa ale wanyama alioanikiwa pale alikataa kwa kusema kitu najisi hakijaingia ndani ya tumbo lake, mpaka kauli ya malaika ilipomshitua kwamba alichokitakatifuza Mungu usikiite najisi.
 
Mkuu unaweza kunisaidia huo mstari. Nautafuta sana huo.
 
Wacha weee Unautafuta sana wapi na kwenye Nini? MAneno ya Mungu na ya Malaika wafuata yepi? na huyo Paulo kazi yake ilikuwa ni kuandika walaka yaani Barua story zake msichanganye na Nabii Musa kwenye Torati hata Yesu alisema hakuja kuitengua kama vipi katafute kitabu cha Barnaba yule Mwizi alieachiwa huru ili yesu asulubiwe kitabu chake kiliondolewa kwenye orodha ya vitabu vya biblia
 
Baba kaleta poku baba kaleta poku...we uchicheme hivyo... mwenye nyumba hii... ni mwichilamu akutusikia atatufukuza
 
Wacha weee Unautafuta sana wapi na kwenye Nini? MAneno ya Mungu na ya Malaika wafuata yepi? na huyo Paulo kazi yake ilikuwa ni kuandika walaka yaani Barua story zake msichanganye na Nabii Musa kwenye Torati hata Yesu alisema hakuja kuitengua kama vipi katafute kitabu cha Barnaba yule Mwizi alieachiwa huru ili yesu asulubiwe kitabu chake kiliondolewa kwenye orodha ya vitabu vya biblia

Tungeelekeza kikra kwenye ajenda ya kujadi wild hog kwa vile hatuoni matangazo wala jitihada za kumlinda mnyama huyu ingawa ni sehemu ya rasilimali za taifa letu.
 
26cb8b0fe2d4cc13f70e6a70670078fc.jpg
99803bb0e2d8cd13f70e6a706700371a.jpg

Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama si rasilimali kama wanyama wengine?
Wanakaa karibu na mashamba. Hupenda kula mihogo, miwa, mtama na viazi. Wanakula sana karanga mtama na mizizi ya baadhi ya miti. Utavipata wapi vyakula vyao katika mbuga ili waendelee kuishi?
 
Back
Top Bottom