Nguruwe ambadilisha dini jose chameleon na kurudi roman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguruwe ambadilisha dini jose chameleon na kurudi roman

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 18, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Unaweza fikria nguruwe ni mnyama mbaya kuliko wote sababu anavyokula na labda wakati ule mapepo yakimbilie kwa nguruwe lakini wenzako uganda nguruwe ambadilisha dini jose chameleon kutoka uislamu na kurudi dini yake
  aliposlimishwa alipewa masharti moja wapo ni kuacha kula kiitimoto akawaambia kuliko niache kitimoto hela yenu siitaki tena ingawa alishalamba kadhaa kupitia sheikh mmoja za mh gadafi ambae muda si mrefu mungu anamwondoa kwenye ulimwengu wa dunia .....sasa alipowapa suprise pale kesho yake akatoa live yamemshinda na lingine ni la kumwambia aongeze mke lohh hilo likamshinda akasema aku kalichopo kanantosha unaweza jua sasa wengi wanaoa wake wengi sio kwa mapenzi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...