Nguruwe akila pilipili anakufa?

devinyo1987

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
269
367
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife?
Msaada tafadhali ndugu wafugaji
 
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife?
Msaada tafadhali ndugu wafugaji
Hafi ila anatoa sana udenda ambao humfanya akose raha atahangaika sana.
Binafsi niliwahi fanya hivyo wa jirani kwa kweli alipiga kelele kutwa nzima.
Na nikamwingizia ule mlingoti wa jani la gimbi kule kwenye ishu yake ule muwasho lile banda nililionea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom