Serikali ilikuwa inamiliki baadhi ya hoteli huko Arusha, Mfano Hotel ya Mount Meru na hotel ya 77, ambazo sasa zimebinafsisha au zimekufa. Iweje serikali isikarabati hoteli hizo ziwe na hadhi ya kimataifa badala yake inafanyia shughuli zake kwenye hotel za watu binafsi kwa gharama kubwa?
Bei ya room kwenye hii hoteli:
US$ 220 kwa mtu kwa siku - Executive room
US$ 2000 presidential villa kwa siku
Hizi ni gharama za malazi tu, bado matunizi mengine. Hivi kwe kama hakuna mkono wa mtu/Mkuu hapa, kwanini serikali ipoteze pesa nyingi hivi kumlipa mtu binafsi wakati inauwezo wa kujenga hotel nzuri tu hapa Arusha?
Kuna hoteli nyingine sijui inatwa Snow Crest au ---, pia nayo nasikia kuna mikono ya wakuu.
Tusubiri
Acheni wivu na roho ya kwanini! Serikali imiliki hotel kwani serikali inaruhusiwa kufanya biashara? au unataka mambo ya Twin tower yaendelezwe?Serikali ilikuwa inamiliki baadhi ya hoteli huko Arusha, Mfano Hotel ya Mount Meru na hotel ya 77, ambazo sasa zimebinafsisha au zimekufa. Iweje serikali isikarabati hoteli hizo ziwe na hadhi ya kimataifa badala yake inafanyia shughuli zake kwenye hotel za watu binafsi kwa gharama kubwa?
Bei ya room kwenye hii hoteli:
US$ 220 kwa mtu kwa siku - Executive room
US$ 2000 presidential villa kwa siku
Hizi ni gharama za malazi tu, bado matunizi mengine. Hivi kwe kama hakuna mkono wa mtu/Mkuu hapa, kwanini serikali ipoteze pesa nyingi hivi kumlipa mtu binafsi wakati inauwezo wa kujenga hotel nzuri tu hapa Arusha?
Kuna hoteli nyingine sijui inatwa Snow Crest au ---, pia nayo nasikia kuna mikono ya wakuu.
Tusubiri
u r welkam............Nilikutegemea sana kwa hili. Ningeshangaa ungekaa kimya. Nimeona umenigongea senksi. Thats my girl!
...Crispin who told you that??!!Hujui? Ni ya E.N.L (the next president)
Serikali ilikuwa inamiliki baadhi ya hoteli huko Arusha, Mfano Hotel ya Mount Meru na hotel ya 77, ambazo sasa zimebinafsisha au zimekufa. Iweje serikali isikarabati hoteli hizo ziwe na hadhi ya kimataifa badala yake inafanyia shughuli zake kwenye hotel za watu binafsi kwa gharama kubwa?
...kwanini serikali ipoteze pesa nyingi hivi kumlipa mtu binafsi wakati inauwezo wa kujenga hotel nzuri tu hapa Arusha?
Kuna hoteli nyingine sijui inatwa Snow Crest au ---, pia nayo nasikia kuna mikono ya wakuu.
Tusubiri
Ni yangu mimi
Ni ya Mzee mwenye Impala na Naura Spring, jamaa ana bidii sana sijui usiku analala saangapi, saa usiku unamkuta ofisini kwake pale Impala ukiamka asubuhi unamkuta pale pale, ni hardworking na down to earth.
Watanzania tunaweza.
Mnashangaa nini mZawa kumiliki Hotel ya kitalii?
Shughuli nyingi za Kitaifa zinafanyika Ngurdoto kwa sababu ya Strategic Location, Management and Super quality Service.
Kuna usalama kwa viongozi kuliko Hotel nyingine.
Pia ipo katika mji wa Kitalii, hivyo ni kuvutia wageni pia.
Acheni kuspin maneno
Serikali ilikuwa inamiliki baadhi ya hoteli huko Arusha, Mfano Hotel ya Mount Meru na hotel ya 77, ambazo sasa zimebinafsisha au zimekufa. Iweje serikali isikarabati hoteli hizo ziwe na hadhi ya kimataifa badala yake inafanyia shughuli zake kwenye hotel za watu binafsi kwa gharama kubwa?
Bei ya room kwenye hii hoteli:
US$ 220 kwa mtu kwa siku - Executive room
US$ 2000 presidential villa kwa siku
Hizi ni gharama za malazi tu, bado matunizi mengine. Hivi kwe kama hakuna mkono wa mtu/Mkuu hapa, kwanini serikali ipoteze pesa nyingi hivi kumlipa mtu binafsi wakati inauwezo wa kujenga hotel nzuri tu hapa Arusha?
Kuna hoteli nyingine sijui inatwa Snow Crest au ---, pia nayo nasikia kuna mikono ya wakuu.
Tusubiri
hivi lugha huwa ni ngumu jamani
mtu kauliza ya nani anapewa mlolongo wa majibu
Acheni wivu na roho ya kwanini! Serikali imiliki hotel kwani serikali inaruhusiwa kufanya biashara? au unataka mambo ya Twin tower yaendelezwe?