shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 893
- 2,659
Huyu lazima atapata PUMBUJERO
Ni baada ya siku ngapi au week ngapi chupi au kwa wanaume boxer inatakiwa kufuliwa baada ya kuvaliwa?
Kila baada ya dakika 15
Sio PumbeErotion chiefHuyu lazima atapata PUMBUJERO
ile tabia yako ya kuanika chupi bafuni/chooni acha mara moja la sivyo hiyo papuchi itakuwa chakula cha fangasi!kila unapovua na kwenda kuoga. . . yaani ukishaoga hupaswi kurinyu!!