Nguo za ndani zinapaswa kufuliwa baada ya kuvaliwa mara ngapi?

Mhhh kweli na hizo ndoto nyevu zitaiacha hyo chupi/boxer salama kweli kwa wiki moja??
 
ni mpaka pale utakapo isimamisha na kuimbia simama dede ikisimama basi unaruhusiwa kuifua.
 
Marco shija,
Si busara kuuliza maswali yasiyo na mantiki yeyote,
Ni wazi kwamba wewe ni mvivu wa kufikirka na kuwa na maamuzi yako binafsi, huwezi kuuliza swali la kipuuzi kama hilo tena mtoto wa kiume.
Ni aibu kwako na kuleta taswira tofauti tofauti kwa wasomaji jinsi gani ulivyo.

NIKUSAIDIE KUJIBU:
Lazima ufue nguo zako za ndani kwa siku kwa sababu ni rahisi kupata madhara kwa kurudia nguo chafu, ni vyema ukajali afya yako kwa kuvaa nguo safi kila wakati.
 
Ingekuwa ni amri yangu:

MALAYONI WOTE NA NYANGULO hakuna kuanzisha mada au hata kuingia JF tu.
 
Mimi huwa kila siku. Ubadili kwa mfano umeoga asubuh uka vaa iiafika jion baada ya mishe zangu naoga nabadili pia mbona bei nafuu na pia hutaji kuwa nazo nying ukiwa nazo 7 au 10 tosha Sana ukioga uifue. Sema kama unakaa maeneo ambayo mnaoga maji. Sado moja kufua ngumu. But usaf muhimu mno hasa nguo za ndan hii itakupa faida ya kuepuka fangas na miktu mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli dogo kaleta swali kitoto toto ila ni la msingi walio wengi huvaa siku mbili hadi tatu. Akiwa amekaa akinyanyuka kama umekaa nyuma yake kuna kiharufu flan cha kutapisha.

Wanaume wengi ni wachafu wanaomponda wapo watakaovaa ya juzi leo
 
Huku Iringa tunarudia kuvaa kama wiki moja hivi.

Kabla ya kuirudia huwa tunanusanusa kama ipo poa tunaendelea kuivaa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom