Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

Uchoko huo kuvaa nguo za kipuuzi hizo, siku hizi hata jeans za kishoga tu ndio zimejaa madukani humo. Hadi cadet nazo et zinavutika
Mkuu Ushoga unapigiwa chapuo kwa 120 speed per hour, ni hatari mno nashawishika kuamini itafika kipindi ardhi itatawaliwa na mashoga na kinadada pekee, vidume vya ukweli ndo vinatoweka mmoja mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima Mkuu!

Tujifunze kutoka dunia nzima, lakini msingi na maudhui ni hapa nyumbani. Elimu ya kweli ni kujielewa, kuielewa jamii na kuuelewa ulimwengu.

Unaifahamu historia ya Magharibi?. Unafahamu kabla ya mavazi wanayoyavaa hivi sasa walikuwa wakivaa nini?, unafahamu mavazi yameanza kuvaliwa karne ipi na wapi?.

Mind you. Culture is not static, it is dynamic.

Hekima ni Uhuru.
Naomba kupata hiyo historia tafadhali, napenda kujifunza vitu vipya kila siku.... kama hutojali.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
images-jpg.573126


Usemayo ni kweli sasa mwanaume rijali anavaa hivi ndo nini nmaana yake?!
Muangalie kwa umakini mkubwa. Huyo ni mwanaume kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.

Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.

Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.

Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.

Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.

Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.


View attachment 573126
Nazichukia sana hizo nguo...nowdays zaidi napendelea kununua vitambaa kushonesha suruali old models

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaa wa aggrey kariakoo walikua wanauza surual nzur za mtumba za kiume, pita pale sasa! Visuruali wavibana chini, ushoga mtupu.
 
Mimi Niko kwenye mchakato was kurudi kwenye golole tu kama Marehemu Sapi Mkwawa....sipendi ujinga was kuonesha indemoni mie
 
Back
Top Bottom