NGUO a.k.a Mavazi

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
24

Jamani eti ni kweli tunaangaika na kupoteza mkwanja kibao kununua nguo,mavazi mengi wakati muda mwing yani most of timei huwa mtu unaenjoy while hujavaa nguo?
 
Hmmm???unataka tusiwe tunavaa nguo kabisa???
 
Hmmm???unataka tusiwe tunavaa nguo kabisa???

tuvae ila tusipoteze hela kuwa na nguo nyingi coz at the end of the day most of your time unaenjoy without clothes.......ahhh aaaa.aaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom