Connection za kibiashara zaidi ndomengi tuliyozungumza
Mkuu sorry. Kwa jinsia gani vile.. Me au KeHonestly inawezekana...inategemea na mwanamke mwenyewe alivyo jipanga. Mwanamume kaumbwa na tamaa na kutongoza ni asili yake,anaweza kumtongoza yeyote mwenye K.!! Na hiyo haimaanishi anampenda. Kuna shida kidogo kwa mwanamke lakini inawezekana. Nimesoma shule yenye ratio ya 30:6 utawapa wote?
Wee mpe tu.. Ulipewa bure, toa bure..Asante kwa ushauri ntafanya hivyo ingawa niko likizo kwenye haya maswala naimani atanielewa maana kijana anaonekana kujielewa na anakitu ambacho naamini ntavuka kwenye malengo yangu sikutaka kumpoteza kwa ajili ya hizi issues ingawa ikinibidi itabidi
Kama huna hisia nae hamna shida! Mi nikishajenga hisia kwamba nakutaka lazma nifanikishe tu. Vinginevyo bye bye urafiki.Hiii ni kwa Me tu kwaupande wa Ke hatuna shida
Hakunaga control hapo mremboPole mkuu umedhihirisha huwezi control hisia zako
nilidhani nipo peke yangu, mkuu tunawezaongea mengi mi na wewew, we got something in commonKama huna hisia nae hamna shida! Mi nikishajenga hisia kwamba nakutaka lazma nifanikishe tu. Vinginevyo bye bye urafiki.
Hahah basi wewe utakuw baharia mwenzangunilidhani nipo peke yangu, mkuu tunawezaongea mengi mi na wewew, we got something in common
kabisa mkuu, kuna manzi saivi anadai namchukia ,sababu nilimpanga akaleta nyeusi alikua rafiki angu kichizi, lakini saivi nampita tu, anakuja kunipa hi simchangamkii mpaka anakosa rahaHahah basi wewe utakuw baharia mwenzangu
😁😁😁
Ndio venye, ila kwa style hio atakupa soon tu ili kujinusuru na buyu ulilompiga, anakutaftia pozu.kabisa mkuu, kuna manzi saivi anadai namchukia ,sababu nilimpanga akaleta nyeusi alikua rafiki angu kichizi, lakini saivi nampita tu, anakuja kunipa hi simchangamkii mpaka anakosa raha