Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
16,738
2,000
Honestly inawezekana...inategemea na mwanamke mwenyewe alivyo jipanga. Mwanamume kaumbwa na tamaa na kutongoza ni asili yake,anaweza kumtongoza yeyote mwenye K.!! Na hiyo haimaanishi anampenda. Kuna shida kidogo kwa mwanamke lakini inawezekana. Nimesoma shule yenye ratio ya 30:6 utawapa wote?
Mkuu sorry. Kwa jinsia gani vile.. Me au Ke
 

feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,663
2,000
Kuna mdada tulikubaliana kuwa marafiki vikanishindaga mapema tu

Mambo ya kuwa na buyu la asali alafu usichovye ...mateso gan hayo bora ujue moja utambae

Pole mkuu umedhihirisha huwezi control hisia zako
 

feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,663
2,000
kabisa mkuu, kuna manzi saivi anadai namchukia ,sababu nilimpanga akaleta nyeusi alikua rafiki angu kichizi, lakini saivi nampita tu, anakuja kunipa hi simchangamkii mpaka anakosa raha

Hii yote ni hasira ya kunyimwa tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom