Ngumi za Tanzania zinaelekea wapi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngumi za Tanzania zinaelekea wapi.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by chuku, Jul 20, 2009.

 1. c

  chuku Member

  #1
  Jul 20, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF.juzi Jumapili ya Tarehe 20/7/09.Kupitia ITV niliona Mpambano wa ngumi kati ya jamaa mmoja mnene kidogo kutoka Zanziba na mpinzani wake kutoka Bara,Ilisemekana kuwa wale mabondia ni MASUPER STAR,cha kusahangazi Mchezo ukaonekana kama vile wa vichocholoni,hasa huyu jamaa wa bara kacheza mchezo wa kihuni sana,hebu smeni juu la hili.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,798
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  jamaa wa bara alifikiri angemshinda mzenji, muda ulipozidi kwenda akazidi kuchanganyikiwa na kugeuza mieleka, du sijui hakujua kwamba itv walikuwepo...kama picha za thailand gangs! kilikuwa kichefuchefu.
   
Loading...