Ngumi na Vurugu kwenye Chaguzi za Ndani za Chadema ndio Ukomavu wa Demokrasia, enzi za TANU hatukuwa makondoo kama sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,752
147,969
Binafsi nachukulia vurugu na ndondi zinazoendelea kwenye Chaguzi za Ndani za Chadema kama Ukomavu wa Demokrasia ya Watu kukataa kuburuzwa

Na hiyo ni dalili njema kwa chama cha Upinzani Duniani kote

Vyama vingine bado vimejikita kwenye Siasa za Maneno mengi Matendo sifuri ndio vimegeuka kuwa Kusanyiko la CHAWA

Enzi za TANU nasi tukiwa TYL ilikuwa hakunaga kudanganyana wala kuleteana upuuzi yaani ukijichanganya tu unapata mkong'oto wa kutosha

Chadema endeleeni hivyo hivyo kama Wafuasi wa Trump 😂😂
 
Ccm siyo ngumi tu hadi sumu wanawekeana.

Hivi yule jamaa aliyetandikwa bakora na Job Ndugai yuko wapi.
 
Yule Mdori kule bungeni anaishi na nani teh teh teh

Mwaka huu Shingo mjipange hizo ni jaramba tu kuibiwa kura MARUFUKU
 
Back
Top Bottom